KAULI YA MBWANA SAMATA BAADA YA POLISI KUMSHAMBULIA MWANDISHI WA HABARI DAR

KAULI YA MBWANA SAMATA BAADA YA POLISI KUMSHAMBULIA MWANDISHI WA HABARI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAULI YA MBWANA SAMATA BAADA YA POLISI KUMSHAMBULIA MWANDISHI WA HABARI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAULI YA MBWANA SAMATA BAADA YA POLISI KUMSHAMBULIA MWANDISHI WA HABARI DAR
kiungo : KAULI YA MBWANA SAMATA BAADA YA POLISI KUMSHAMBULIA MWANDISHI WA HABARI DAR

soma pia


KAULI YA MBWANA SAMATA BAADA YA POLISI KUMSHAMBULIA MWANDISHI WA HABARI DAR

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

WAKATI Watanzania mbalimbali wakitoa matamko ya kulaani kitendo cha Mwandishi wa habari wa Wapo Redio Silas Mbise kushambuliwa na Polisi katika mechi kati ya Simba na Asante Kotoko Siku ya Simba Day mchezaji wa kimataifa na timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’Mbwana Samata amesema kitendo hicho si cha kiungwana.

Samata ametoa kauli hiyo kutokana na kusambaa kwa video inayoonesha namna ambavyo mwandishi huyo akishambuliwa licha ya kujisamilisha.
Hivyo kutokana na video hiyo Samata kupita ukurasa wake wa Tweet ameelezea kusikitishwa na shambulio hilo.

Samata amesema hivi “Sio kitendo cha kiungwana askari kupiga mwandishi katika eneo la michezo , mpira ni mchezo unaoleta amani sio kuvunja amani.”.Wakati Samata akitoa kauli hiyo tayari leo mchana Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linalaani vikali tukio hilo linalosambaa mtandaoni la kupigwa kwa mwandishi huyo.

Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewaambia waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam amesema tukio hilo limetokea Agosti 8 mwaka huu siku ya mechi kati ya Simba na Asante Kotoko ya nchini Ghana.Aidha amesema Polisi Kanda Maalum imeanza uchunguzi wa tukio hilo kwa kufungua jalada la uchunguzi wa picha ya video hiyo inayosambaa na kuonesha askari polisi na mwandishi huyo wa habari ili kubaini ukweli.

Mambosasa amesema hiyo inakwenda sambasamba na kumtaka mtendewa wa kosa hilo la kupigwa kutoa taarifa kituo cha Polisi ili hatua stahiki zichukuliwe na kwamba mtu yoyote anatakiwa kutoa malalamiko yake pale anapoona ametendewa vitendo ambavyo ni kinyume na sheria.


Hivyo makala KAULI YA MBWANA SAMATA BAADA YA POLISI KUMSHAMBULIA MWANDISHI WA HABARI DAR

yaani makala yote KAULI YA MBWANA SAMATA BAADA YA POLISI KUMSHAMBULIA MWANDISHI WA HABARI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAULI YA MBWANA SAMATA BAADA YA POLISI KUMSHAMBULIA MWANDISHI WA HABARI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/kauli-ya-mbwana-samata-baada-ya-polisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAULI YA MBWANA SAMATA BAADA YA POLISI KUMSHAMBULIA MWANDISHI WA HABARI DAR"

Post a Comment