title : KATIBU MKUU WA CCM AKIAGANA NA VIONGOZI WA CCM BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YAKE PEMBA
kiungo : KATIBU MKUU WA CCM AKIAGANA NA VIONGOZI WA CCM BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YAKE PEMBA
KATIBU MKUU WA CCM AKIAGANA NA VIONGOZI WA CCM BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YAKE PEMBA

Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Dk. Bashiru Ally akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kujitambulisha kwa Wana-CCM Pemba.
Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Dk. Bashiru Ally akiagana na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Organazesheni CCM Zanzibar Bakari Hamad Khamis mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kujitambulisha kwa Wana-CCM Pemba.
Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Dk. Bashiru Ally akiagana na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Uchumi na Fedha Zanzibar Ndugu Afadhali Taib Afadhali (kushoto) mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kujitambulisha kwa Wana-CCM Pemba.
Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Dk. Bashiru Ally akiwa katika ndege ya Kampuni ya Assalam Air akiwapungia mkono wana CCM na viongozi wa CCM walioshiriki kumuaga katika uwanja wa ndege Pemba.
Hivyo makala KATIBU MKUU WA CCM AKIAGANA NA VIONGOZI WA CCM BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YAKE PEMBA
yaani makala yote KATIBU MKUU WA CCM AKIAGANA NA VIONGOZI WA CCM BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YAKE PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WA CCM AKIAGANA NA VIONGOZI WA CCM BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YAKE PEMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/katibu-mkuu-wa-ccm-akiagana-na-viongozi.html
0 Response to "KATIBU MKUU WA CCM AKIAGANA NA VIONGOZI WA CCM BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YAKE PEMBA"
Post a Comment