title : Dkt. Mwakyembeatoa taarifa ya kumalizika kwa mgogoro wa ardhi Mwenge Vinyago uliodumu kwa miaka 33
kiungo : Dkt. Mwakyembeatoa taarifa ya kumalizika kwa mgogoro wa ardhi Mwenge Vinyago uliodumu kwa miaka 33
Dkt. Mwakyembeatoa taarifa ya kumalizika kwa mgogoro wa ardhi Mwenge Vinyago uliodumu kwa miaka 33
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari na wasanii wa kuchonga vinyago (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 33 katika eneo la vinyago Mwenge jijini Dar es salaam. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa nchini (BASATA) Geofrey Mngereza na kulia ni Rais wa Shirikisho la Sanaa za Uchongaji, Adrian Nyangamale.
Baadhi ya wasanii wa sanaa za uchongaji wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati akitoa taarifa ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 33 katika eneo la vinyago Mwenge.
Rais wa Shirikisho la Sanaa za Uchongaji, Adrian Nyangamale (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari na wasanii wa kuchonga vinyago (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 33 katika eneo la vinyago Mwenge. Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe na katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa nchini (BASATA) Geofrey Mngereza. Picha na MAELEZO
Hivyo makala Dkt. Mwakyembeatoa taarifa ya kumalizika kwa mgogoro wa ardhi Mwenge Vinyago uliodumu kwa miaka 33
yaani makala yote Dkt. Mwakyembeatoa taarifa ya kumalizika kwa mgogoro wa ardhi Mwenge Vinyago uliodumu kwa miaka 33 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Mwakyembeatoa taarifa ya kumalizika kwa mgogoro wa ardhi Mwenge Vinyago uliodumu kwa miaka 33 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dkt-mwakyembeatoa-taarifa-ya-kumalizika.html
0 Response to "Dkt. Mwakyembeatoa taarifa ya kumalizika kwa mgogoro wa ardhi Mwenge Vinyago uliodumu kwa miaka 33"
Post a Comment