title : JK amjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla
kiungo : JK amjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla
JK amjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla
Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo Jumatano Agosti 8, 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kumjulia hali na kumpa pole kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4, 2018 mkoani Manyara.
Hivyo makala JK amjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla
yaani makala yote JK amjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JK amjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/jk-amjulia-hali-waziri-wa-maliasili-na.html
0 Response to "JK amjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla"
Post a Comment