title : KATIBU WA BUNGE, WANANCHI NA WANAFUNZI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA
kiungo : KATIBU WA BUNGE, WANANCHI NA WANAFUNZI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA
KATIBU WA BUNGE, WANANCHI NA WANAFUNZI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA
Mwananchi Mkazi wa Jiji la Dodoma ambaye pia ni mlemavu asiyeona akiipapasa SIWA ya mfano baada ya kutembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Nanenane Jijini Dodoma.
Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Omary Machunda akitoa elimu kuhusiana na Bunge kwa wanafunzi na raia wengine waliotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya Nanenane Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akipewa maelezo ya shughuli zinazofanywa na maafisa wa Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya Nanenane Jijini Dodoma baada ya kutembelea Banda la Ofisi hiyo. Anayetoa maelezo ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu kwa Umma na Mwasiliano Bi. Zuhura Mtatifikolo.
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akipewa maelezo ya shughuli zinazofanywa na maafisa wa Ofisi ya Bunge katika maonyesho ya Nanenane Jijini Dodoma baada ya kutembelea Banda la Ofisi hiyo. Anayetoa maelezo ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu kwa Umma na Mwasiliano Bi. Zuhura Mtatifikolo.
Hivyo makala KATIBU WA BUNGE, WANANCHI NA WANAFUNZI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA
yaani makala yote KATIBU WA BUNGE, WANANCHI NA WANAFUNZI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU WA BUNGE, WANANCHI NA WANAFUNZI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/katibu-wa-bunge-wananchi-na-wanafunzi.html
0 Response to "KATIBU WA BUNGE, WANANCHI NA WANAFUNZI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA"
Post a Comment