BREAKING NEWSSS: KING MAJUTO HATUNAYE TENA, AFARIKI DUNIA USIKU HUU

BREAKING NEWSSS: KING MAJUTO HATUNAYE TENA, AFARIKI DUNIA USIKU HUU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWSSS: KING MAJUTO HATUNAYE TENA, AFARIKI DUNIA USIKU HUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWSSS: KING MAJUTO HATUNAYE TENA, AFARIKI DUNIA USIKU HUU
kiungo : BREAKING NEWSSS: KING MAJUTO HATUNAYE TENA, AFARIKI DUNIA USIKU HUU

soma pia


BREAKING NEWSSS: KING MAJUTO HATUNAYE TENA, AFARIKI DUNIA USIKU HUU

Msanii mkongwe  Amri Athuman maarufu kama " King Majuto"  amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa amelazwa kwa siku kadhaa mara tu baada ya kurejea nchini kutoka nchini India alikopelekwa na serikali kwa matibabu.
Msanii maarufu mhekeshaji Joti ndiye alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa hizo za kusikitisha katika mtandao wake wa Instagram, ikiambatana na picha yake akiwa na msanii Mpoki walipokwenda kumjulia hali hospiali.
Joti ameandika kwenye ukrasa wake wa Instagram: “R.I.P @Kingmajuto. metuachia Maumivu Makubwa sana ktk Tasnia ya Comedy Tanzania Sisi wanao,Tutakukumbuka kwa kazi zako,Upendo wako,Tabasamu lako Daima milele,Tulikupenda sana ila Mungu amekupenda zaidi,Pumzika kwa Amani Mzee wetu,” ameandika Joti.
Mwigizaji nyota wa vichekesho Steve Nyerere naye kwa masikitiko makubwa amethibitisha habari hiyo kwa kusema: "Kweli kaka, Mzee wetu katutoka. Tunalia kwa kumpoteza Mzee wetu..."
Muigizaji huyo alizaliwa mwaka 1948 jijini Tanga na kusoma shule Msambwini, huko huko Tanga.  Alianza fani ya kuigiza akiwa na umri mdogo wa miaka tisa, na toka wakati huo amekuwa kileleni katika fani ya uigizaji hadi mauti yalipomkuta.


Hivyo makala BREAKING NEWSSS: KING MAJUTO HATUNAYE TENA, AFARIKI DUNIA USIKU HUU

yaani makala yote BREAKING NEWSSS: KING MAJUTO HATUNAYE TENA, AFARIKI DUNIA USIKU HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWSSS: KING MAJUTO HATUNAYE TENA, AFARIKI DUNIA USIKU HUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/breaking-newsss-king-majuto-hatunaye.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWSSS: KING MAJUTO HATUNAYE TENA, AFARIKI DUNIA USIKU HUU"

Post a Comment