HATUTARUDIA MAKOSA SIMBA MJIANDAE-MBEYA CITY

HATUTARUDIA MAKOSA SIMBA MJIANDAE-MBEYA CITY - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HATUTARUDIA MAKOSA SIMBA MJIANDAE-MBEYA CITY, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HATUTARUDIA MAKOSA SIMBA MJIANDAE-MBEYA CITY
kiungo : HATUTARUDIA MAKOSA SIMBA MJIANDAE-MBEYA CITY

soma pia


HATUTARUDIA MAKOSA SIMBA MJIANDAE-MBEYA CITY

Na Agness Francis,blogu ya Jamii.

Kikosi cha Mbeya city chatamba kufanya vizuri katika mchezo wao dhidi ya mnyama Simba sc hapo kesho katika muendelezo wa michuano ya Ligi kuu Tanzania bara.

Mpambano huo utakao tifulia katika dimba la Uwanja wa Taifa huku Mbeya city wakiwa wageni wa mchezo huo.Mechi ya kwanza Mbeya city ilipata kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa wana lamba lamba Azam fc katika dimba la Azam complex Chamazi,ambapo simba alishinda 1-0 dhidi ya Prisons.

Lakini katika kuelekea mtanange huo dhidi ya mabingwa watetezi Simba,kikosi cha Mbeya city imejihakikishia kutorudia makosa waliyoyafanya katika mchezo uliopita 

"Kambi ipo salama vijana wanajituma kwa kuwa tunajua tumekosea wapi tunafanyia kazi makosa tunarekebisha pale tulipokosea ili tuweze kufanya vizuri gemu inakuja dhidi ya Simba,hatuturudia tena makosa tuliyoyafanya"amesema kocha msaidizi Josiah Steven. 

Meneja wa Mbeya city Deo Julias amesema vijana wanamorali ya kufanya vizuri kuhakikisha wanapata ushindi na kurudi nyumbani wakiwa na pointi 3.
Kikosi cha Mbeya City.


Hivyo makala HATUTARUDIA MAKOSA SIMBA MJIANDAE-MBEYA CITY

yaani makala yote HATUTARUDIA MAKOSA SIMBA MJIANDAE-MBEYA CITY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HATUTARUDIA MAKOSA SIMBA MJIANDAE-MBEYA CITY mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/hatutarudia-makosa-simba-mjiandae-mbeya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HATUTARUDIA MAKOSA SIMBA MJIANDAE-MBEYA CITY"

Post a Comment