EXIM BANK TANZANIA WAKABIDHI JEZI MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI EAPCCO

EXIM BANK TANZANIA WAKABIDHI JEZI MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI EAPCCO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa EXIM BANK TANZANIA WAKABIDHI JEZI MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI EAPCCO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : EXIM BANK TANZANIA WAKABIDHI JEZI MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI EAPCCO
kiungo : EXIM BANK TANZANIA WAKABIDHI JEZI MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI EAPCCO

soma pia


EXIM BANK TANZANIA WAKABIDHI JEZI MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI EAPCCO

Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa akipokea jezi kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim, Stanley Kafu (kushoto) zilizodhaminiwa na benki hiyo kwaajili ya Mashindano ya Shirikisho la Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (EAPCCO) yaliyotarajiwa kuanza jana kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. 
Mashindano hayo yanayoshirikisha nchi 14 yatahusisha michezo ya Mpira wa Miguu, Netiboli, Mpira wa wavu, Kulenga shabaha, Kareti, Judo na Taekondo na yanatarajiwa kumalizika mwishoni mwa wiki hii. 
MAJESHI-- Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa akiwa na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Stanley Kafu (kushoto) wakionesha moja kati ya jezi zilizodhaminiwa na benki hiyo kwaajili ya Mashindano ya Shirikisho la Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (EAPCCO) yaliyotarajiwa kuanza jana kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. 
Mashindano hayo yanayoshirikisha nchi 14 yatahusisha michezo ya Mpira wa Miguu, Netiboli, Mpira wa wavu, Kulenga shabaha, Kareti, Judo na Taekondo na yanatarajiwa kumalizika mwishoni mwa wiki hii. Wengine ni Abdul Nkondo (kulia), Meneja msaidizi wa idara ya masoko na mawasiliano wa Benki ya Exim Bank Tanzania and PC Daniel Mashaka (kushoto).


Hivyo makala EXIM BANK TANZANIA WAKABIDHI JEZI MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI EAPCCO

yaani makala yote EXIM BANK TANZANIA WAKABIDHI JEZI MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI EAPCCO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala EXIM BANK TANZANIA WAKABIDHI JEZI MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI EAPCCO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/exim-bank-tanzania-wakabidhi-jezi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "EXIM BANK TANZANIA WAKABIDHI JEZI MASHINDANO YA MAJESHI YA POLISI EAPCCO"

Post a Comment