WEMA SEPETU AFUNGUKA TENA KUHUSU IDRISS SULTAN,NAYE AJIBU MAZITO

WEMA SEPETU AFUNGUKA TENA KUHUSU IDRISS SULTAN,NAYE AJIBU MAZITO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WEMA SEPETU AFUNGUKA TENA KUHUSU IDRISS SULTAN,NAYE AJIBU MAZITO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WEMA SEPETU AFUNGUKA TENA KUHUSU IDRISS SULTAN,NAYE AJIBU MAZITO
kiungo : WEMA SEPETU AFUNGUKA TENA KUHUSU IDRISS SULTAN,NAYE AJIBU MAZITO

soma pia


WEMA SEPETU AFUNGUKA TENA KUHUSU IDRISS SULTAN,NAYE AJIBU MAZITO

Moja ya stori inayoenea kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu hii ya Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ambaye hakuficha hisia zake na kuziweka wazi kwa kuandika ujumbe kwenye Instagram yake kuhusu Idriss Sultan.
Kama utakumbuka Wema na Idriss waliwahi kuwa mapenzini ambapo tangu kuachana kwao hapakuwa na stori zozote zilizowahusu wawili hao lakini leo kupitia Instagram yake Wema ameandika:>>>”Nikisema sitojivunia ntakuwa ni muongo na mnafki…Proud of you sana…Cant wait for these babies to launch…Im sure zitakuwa Killer…Cause one thing I know is that “Classy” defines you alot better than anything… #SultanXForemen… Goodmorning World.” – Wema Sepetu
Baada ya ujumbe huo wa Wema Sepetu, naye Idriss Sultan aliandika kwenye Instagram yake:>>>“MOOD: Unakuta kakuposti tu wakati mmekulana block hadi kwenye email … Dahhh we mwanamke utakuja uniue .. Thank you mke … Msishtuke, kwanzia lini mke anaachwa hata aolewe. Mungu Ibariki hii launch jamani #sultanXforemen” – Idriss.



Hivyo makala WEMA SEPETU AFUNGUKA TENA KUHUSU IDRISS SULTAN,NAYE AJIBU MAZITO

yaani makala yote WEMA SEPETU AFUNGUKA TENA KUHUSU IDRISS SULTAN,NAYE AJIBU MAZITO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WEMA SEPETU AFUNGUKA TENA KUHUSU IDRISS SULTAN,NAYE AJIBU MAZITO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wema-sepetu-afunguka-tena-kuhusu-idriss.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WEMA SEPETU AFUNGUKA TENA KUHUSU IDRISS SULTAN,NAYE AJIBU MAZITO"

Post a Comment