DKT. KIGWANGALA AFIKISHWA HOSPITAL YA SELIAN LUTHERAN MEDICAL.

DKT. KIGWANGALA AFIKISHWA HOSPITAL YA SELIAN LUTHERAN MEDICAL. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. KIGWANGALA AFIKISHWA HOSPITAL YA SELIAN LUTHERAN MEDICAL., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. KIGWANGALA AFIKISHWA HOSPITAL YA SELIAN LUTHERAN MEDICAL.
kiungo : DKT. KIGWANGALA AFIKISHWA HOSPITAL YA SELIAN LUTHERAN MEDICAL.

soma pia


DKT. KIGWANGALA AFIKISHWA HOSPITAL YA SELIAN LUTHERAN MEDICAL.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangala amefikishwa katika Hospitali ya Selian Lutheran Medical kwa ajili ya kupatiwa matibabu kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea leo asubuhi eneo Magugu Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara.

Baada ya kutua kwa Helikopta katika Hoteli ya Mount Meru, msafara ulienda moja kwa moja hospitali hiyo tofauti na ilivyotarajiwa kufikishwa Hospitali ya Mkoa wa Arusha Mount Meru.

Wakuu wa mikoa ya Arusha,Mrisho Gambo na Kilimanjaro, Anna Mgwira ,Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo pamoja viongozi wa Kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wapo katika hospitali hiyo.

Taarifa zaidi zinasema baada ya kupata huduma ya kupigwa picha atasafirishwa na ndege maalumu kwenda Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.

Gari la Waziri Kigwangalla limepata ajali leo asubuhi eneo la Magugu, Manyara. Ajali hiyo imesababisha kifo cha msemaji wa mizara hiyo, Hamza Themba


Hivyo makala DKT. KIGWANGALA AFIKISHWA HOSPITAL YA SELIAN LUTHERAN MEDICAL.

yaani makala yote DKT. KIGWANGALA AFIKISHWA HOSPITAL YA SELIAN LUTHERAN MEDICAL. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. KIGWANGALA AFIKISHWA HOSPITAL YA SELIAN LUTHERAN MEDICAL. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dkt-kigwangala-afikishwa-hospital-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT. KIGWANGALA AFIKISHWA HOSPITAL YA SELIAN LUTHERAN MEDICAL."

Post a Comment