title : DC MJEMA KATIKA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KACHANGIA UJENZI WA KITUOCHA POLISI MAJOHE.
kiungo : DC MJEMA KATIKA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KACHANGIA UJENZI WA KITUOCHA POLISI MAJOHE.
DC MJEMA KATIKA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KACHANGIA UJENZI WA KITUOCHA POLISI MAJOHE.
Mwambawahabari
Kwa upande wake diwani wa katakana ya Majohe Waziri Mwenevyale, ameahidi kujenga kench za jengohilo, na kumuomba DC Mjema kulitiliamkazo jambohilo ilikupunguza uhalifu katika eneo hilo.
Katika hatua nyingine DC Mjema ametembelea shule ya msingi Majohe na kukagua mradi wamaji ambapo wanafunzi wa shule hiyo wamepatanafasi ya kutoa kero zao wakiomba maji.
Na John Luhende
Mkuu wa wilya ya Ilala Sophia MJEMA, akiwa katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi ameahidi kutoa mifuko 15 ya Cement kwaajili ya kumalizia ujenzi wa Kituocha polisi cha Majohe ambapo ujenzi huo ulikwama kwa muda tangu mwaka 204.
Aidha DC Mjema ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, ameutaka uongozi wa kata hiyo kuwasilisha mahitaji yote ya kituohicho ili ofisi yake iweze kufanyia kazi kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa kituohicho. Kwa upande wake diwani wa katakana ya Majohe Waziri Mwenevyale, ameahidi kujenga kench za jengohilo, na kumuomba DC Mjema kulitiliamkazo jambohilo ilikupunguza uhalifu katika eneo hilo.
Katika hatua nyingine DC Mjema ametembelea shule ya msingi Majohe na kukagua mradi wamaji ambapo wanafunzi wa shule hiyo wamepatanafasi ya kutoa kero zao wakiomba maji.
Mara baada ya wanafunzi hao kutoa kero zao DC Mjema ameahidi kuwajengea vyoo vinne kwaajili ya watoto wa kike ili wasikatishe masomo.
Pamoja na hayo DC Mjema amewatakawananchi hao kuwafichua wahamiaji haramu na waharifu wanaohatarisha amani kwa kuendesha vitendo vya wizi na ubakaji.
Hivyo makala DC MJEMA KATIKA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KACHANGIA UJENZI WA KITUOCHA POLISI MAJOHE.
yaani makala yote DC MJEMA KATIKA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KACHANGIA UJENZI WA KITUOCHA POLISI MAJOHE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA KATIKA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KACHANGIA UJENZI WA KITUOCHA POLISI MAJOHE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dc-mjema-katika-kuimarisha-ulinzi-na.html
0 Response to "DC MJEMA KATIKA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KACHANGIA UJENZI WA KITUOCHA POLISI MAJOHE."
Post a Comment