CCM KARATU YAONYA WANAOHUJUMU MIRADI YA MAENDELEO

CCM KARATU YAONYA WANAOHUJUMU MIRADI YA MAENDELEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CCM KARATU YAONYA WANAOHUJUMU MIRADI YA MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CCM KARATU YAONYA WANAOHUJUMU MIRADI YA MAENDELEO
kiungo : CCM KARATU YAONYA WANAOHUJUMU MIRADI YA MAENDELEO

soma pia


CCM KARATU YAONYA WANAOHUJUMU MIRADI YA MAENDELEO

Na Woinde Shizza, Arusha

CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Karatu  kimeonya baadhi ya watendaji wanaohujumu miradi ya maendeleo ikiwemo miradi ya maji ,barabara ambayo inalenga kutatua changamoto za wananchi. 

Mwenyekiti wa CCM wilayani hapo Lucian  Akonaay ametoa onyo hilo jana ambapo amesema  wanaohujumu miradi watachukuliwa hatua.

Amesema kuwa wananchi bado wana imani na chama hicho katika kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma muhimu za kijamii ikiwemo maji na miundombinu ya barabara pamoja na huduma za afya.

Akonaay amesema kuwa Chama hicho kimeandaa utaratibu wa kutembelea miradi ya maendeleo  na kujihakikishia kuwa iwapo inatekelezwa kwa viwango stahiki na kwa wakati uliopangwa

 Kwa upande wake Katibu wa CCM Karatu  Solomon Itunda amesema kuwa viongozi wa chama hicho wamekua wakikagua maendeleo ya miradi pamoja na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma bora ikiwa ni pamoja na kutoa mapendekezo kwa viongozi wa Serikali.

Diwani Mteule wa Kata ya Baray kupitia  Chama hicho Elitumaini Rweyemamu amesema kuwa wamejiandaa kusimamia utekelezaji na kutatu kero za wananchi ili kuboresha huduma za kijamii.
 Wakati huo huo Mkazi wa Karatu ameipongeza Serikali kwa kuhakikisha upatikanaji wa maji kwa kuchimba visima na kuiomba iongeze visima na mabomba hususan kwenye maeneo yenye watu wengi.


Hivyo makala CCM KARATU YAONYA WANAOHUJUMU MIRADI YA MAENDELEO

yaani makala yote CCM KARATU YAONYA WANAOHUJUMU MIRADI YA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CCM KARATU YAONYA WANAOHUJUMU MIRADI YA MAENDELEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/ccm-karatu-yaonya-wanaohujumu-miradi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CCM KARATU YAONYA WANAOHUJUMU MIRADI YA MAENDELEO"

Post a Comment