title : BARAZA LA EID EL HAJJ KIZIMKAZI MKOA WA KUSINI UNGUJA
kiungo : BARAZA LA EID EL HAJJ KIZIMKAZI MKOA WA KUSINI UNGUJA
BARAZA LA EID EL HAJJ KIZIMKAZI MKOA WA KUSINI UNGUJA
Askari wa Kikosi cha Polisi FFU wakitoa salamu ya Hesma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akipokea salamu hiyo ya heshma katika Sherehe za Baraza la Eid el Hajj zilizofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipokea salamu ya heshma kwa gwaride maalum la kikosi cha Polisi FFU wakati wa Sherehe za Baraza la Eid el Hajj zilizofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Wananchi na kuwatakia kheri na salama katika Sikukuu ya Eid el Hajj baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Wananchi na kuwatakia kheri na salama katika Sikukuu ya Eid el Hajj baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Wananchi na kuwatakia kheri na salama katika Sikukuu ya Eid el Hajj baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la EId El Hajj lililofanyika Leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkunguni,Mkoa wa Kusini Unguja.
Hivyo makala BARAZA LA EID EL HAJJ KIZIMKAZI MKOA WA KUSINI UNGUJA
yaani makala yote BARAZA LA EID EL HAJJ KIZIMKAZI MKOA WA KUSINI UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BARAZA LA EID EL HAJJ KIZIMKAZI MKOA WA KUSINI UNGUJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/baraza-la-eid-el-hajj-kizimkazi-mkoa-wa.html
0 Response to "BARAZA LA EID EL HAJJ KIZIMKAZI MKOA WA KUSINI UNGUJA"
Post a Comment