DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA

DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA
kiungo : DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA

soma pia


DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali na Mashekhe wa Mkoa wa Kusini Unguja katika swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa leo katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja,ambapo Swala hiyo imeongozwa na Sheikh Suleiman Haji Ibrahim
Waislamu mbali mbali wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa leo katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini,ambapo Sheikh Suleiman Haji Ibrahim(hayupo pichani) aliongoza Swala hiyo,iliyohudhuriwa na Viongozi wa Kitaifa akiwemo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya akinamama waliojumuika katika swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa leo katika Uwanja wa Jamhuri Makunduchi Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja
Sheikh Abdalla Issa Makame (kulia) kutoka Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja akisoma Khutba mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine pamoja na Waislamu wa Mkoa wa Kusini Unguja leo baada ya Swala ya Eid el Hajj,Kitaifa iliyoswaliwa katika uwanja wa Jamhuri Makunduchi



Hivyo makala DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA

yaani makala yote DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dkt-shein-aongoza-swala-ya-eid-el-hajj.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA"

Post a Comment