ASTLE LITE YANOGESHA TAMASHA LA MUZIKI LA STR8UP JIJINI DAR

ASTLE LITE YANOGESHA TAMASHA LA MUZIKI LA STR8UP JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ASTLE LITE YANOGESHA TAMASHA LA MUZIKI LA STR8UP JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ASTLE LITE YANOGESHA TAMASHA LA MUZIKI LA STR8UP JIJINI DAR
kiungo : ASTLE LITE YANOGESHA TAMASHA LA MUZIKI LA STR8UP JIJINI DAR

soma pia


ASTLE LITE YANOGESHA TAMASHA LA MUZIKI LA STR8UP JIJINI DAR

Wakazi wa vitongoji mbalimbali vya jiji la Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki wakipata burudani moto moto ya muziki katika tamasha la muziki lililoandaliwa na kampuni ya masuala ya burudani ya STR8UP na kufanyika katika ukumbi wa Velisas-Kawe, chini ya udhamini wa bia ya Castle Lite.
Meneja wa Mawasiliano ya Wateja wa TBL, David Tarimo, (katikati) akiwa na Mtalaamu wa Ubunifu nchini Ally Remtulla (kulia) wakati wa tamasha la la Muziki la STR8UP, lililofanyika katika ukumbi wa Velisas Kawe, wakipata burudani kwa udhamini wa bia ya Castle Lite .
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, waliohudhuria katika tamashala la Muziki la STR8UP, lililofanyika katika ukumbi wa Velisas Kawe wakipata burudani kwa sambamba na kinywaji cha Castle Lite.
DJ akionyesha umahiri wake wakati wa tamasha la Muziki la STR8UP, lililofanyika katika ukumbi wa Velisas Kawe jijini Dar es Salaam, kwa udhamini wa bia ya Castle Lite.
Mtaalamu wa kupiga drum, Haidery Vagu, akionyesha umahiri wake katika tamasha hilo.


Hivyo makala ASTLE LITE YANOGESHA TAMASHA LA MUZIKI LA STR8UP JIJINI DAR

yaani makala yote ASTLE LITE YANOGESHA TAMASHA LA MUZIKI LA STR8UP JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ASTLE LITE YANOGESHA TAMASHA LA MUZIKI LA STR8UP JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/astle-lite-yanogesha-tamasha-la-muziki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ASTLE LITE YANOGESHA TAMASHA LA MUZIKI LA STR8UP JIJINI DAR"

Post a Comment