ASKARI MSTAAFU MBARONI KWA TUHUMA KUKODISHA SILAHA

ASKARI MSTAAFU MBARONI KWA TUHUMA KUKODISHA SILAHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ASKARI MSTAAFU MBARONI KWA TUHUMA KUKODISHA SILAHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ASKARI MSTAAFU MBARONI KWA TUHUMA KUKODISHA SILAHA
kiungo : ASKARI MSTAAFU MBARONI KWA TUHUMA KUKODISHA SILAHA

soma pia


ASKARI MSTAAFU MBARONI KWA TUHUMA KUKODISHA SILAHA

Askari mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anashikiliawa na jeshi la polisi Mkoani Morogoro kwa tuhuma za kukodisha silaha kwa wahalifu zinazotumika kwenye matukio ya ujambazi.

Akizungumza jana Agosti 14, kamanda wa polisi mkoani Morogoro, Wilbroad Mutafungwa alisema watuhumiwa 39 wa matukio hayo walihusishwa kwenye matukio ya uhalifu ikiwamo kukutwa na silaha za aina tano, bangi kete 200, bangi misokoto 66, risasi 27, pamoja na pombe aina ya gongo lita 58.

Mtuhumiwa Lumi Guya maarufu kama Mbulu (67) mkazi wa Kingolwira alikamatwa kwa tuhuma za kukodisha silaha yake aina ya Shot Gun anayoimiliki kihalali kwa watu wanaofanya uhalifu.

Kamanda huyo amesema mtuhumiwa huyo ni mwanajeshi mstaafu wa JWTZ na hushirikiana na Miraji Jumanne(28)mkazi wa Kichangani ambaye inadaiwa aliwahi kuwa askari polisi na kufukuzwa kutokana na vitendo visivyofaa wakishirikiana na wenzao sita ambao wote wanashikiliwa.

Watuhumiwa wengine walikamatwa katika matukio ya wizi, uuzaji gongo, wafugaji kulisha mifugo kwenye mashamba ya wakulima na wizi wa kutumia silaha.


Hivyo makala ASKARI MSTAAFU MBARONI KWA TUHUMA KUKODISHA SILAHA

yaani makala yote ASKARI MSTAAFU MBARONI KWA TUHUMA KUKODISHA SILAHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ASKARI MSTAAFU MBARONI KWA TUHUMA KUKODISHA SILAHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/askari-mstaafu-mbaroni-kwa-tuhuma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ASKARI MSTAAFU MBARONI KWA TUHUMA KUKODISHA SILAHA"

Post a Comment