title : Wazazi Tambueni Vipaji Vya Watoto Wenu.
kiungo : Wazazi Tambueni Vipaji Vya Watoto Wenu.
Wazazi Tambueni Vipaji Vya Watoto Wenu.
Mtoto Lameck Charles (9) pamoja na mdogo wake Fredrick Charles (8)ni Watoto wa shule ya Msingi Inteki wakiwa wanaonyesha mchezo wa sarakasi ndani ya stendi ndogo ya jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya kazi ambayo wanaifanya kipindi wakiwa likizo ,watoto hawa ambao walikutwa na kamera yetu walisema kuwa wamekuwa wakitumia kipaji hicho walichojifunza kutoka kwa kaka yao ili kuweza kujipatia fedha ya kununua vitu vidogo vidogo pindi pale wanaporejea shuleni pembeni ni baadhi ya wananchi wakiwa wanawashuhudia watoto hao wakiendelea kuonyesha vipaji vyao (picha na Woinde Shizza,Arusha)
Hivyo makala Wazazi Tambueni Vipaji Vya Watoto Wenu.
yaani makala yote Wazazi Tambueni Vipaji Vya Watoto Wenu. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wazazi Tambueni Vipaji Vya Watoto Wenu. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wazazi-tambueni-vipaji-vya-watoto-wenu.html
0 Response to "Wazazi Tambueni Vipaji Vya Watoto Wenu."
Post a Comment