16 WANAOTUHUMIWA KUCHOTA FEDHA ZA USHIRIKA WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA

16 WANAOTUHUMIWA KUCHOTA FEDHA ZA USHIRIKA WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa 16 WANAOTUHUMIWA KUCHOTA FEDHA ZA USHIRIKA WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : 16 WANAOTUHUMIWA KUCHOTA FEDHA ZA USHIRIKA WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA
kiungo : 16 WANAOTUHUMIWA KUCHOTA FEDHA ZA USHIRIKA WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA

soma pia


16 WANAOTUHUMIWA KUCHOTA FEDHA ZA USHIRIKA WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA

Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya ,akizungumza juu ya maamuzi yaliyochukuliwa mara baada ya kamati aliyoiunda kuwasilisha taarifa yake.
Baadhi ya wananchi wakisikiliza kwa makini juu ya maamuzi yaliyochukuliwa na Mkuu huyo wa wilaya.
Baadhi ya wananchi wakionesha mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa mkutano huo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.
-WADAIWA KUFANYA UBADHILIFU WA ZAIDI YA MIL 200.
-WENGINE WAUZA VIPURI VYA MASHINE.

WATU 16 wakiwemo viongozi wa Bodi ya Ushirika wa Umoja wa watumia maji katika kijiji cha Mijongweni (UWAMI) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya wakituhumiwa kuhusika na ubadhilifu wa fedha za mradi zaidi ya Sh Mil 200.

Mbali na Viongozi wa Bodi ya ushirika huo wakiongozwa na Mwenyekiti wake ,Nuru Ndoma pia wamo baadhi ya wajumbe wa serikali ya kijiji, Viongozi wa kamati ya mpito ya kusimamia mradi huo ikiongozwa na Alex Mkwizu.

Kukamatwa kwa Viongozi hao kunatokana na taarifa ya uchunguzi uliofanywa na kamati iliyoundwa na Mkuu huyo wa wilaya kuchunguza madai ya ubadhilifu wa fedha baada ya kukataa taarifa yaawali ya kamati kama hiyo iliyoundwa na aliyekuwa mkuu wa wilaya hiyo Gelasius Byakanwa.

Tuhuma zinazowakabili watu hao zimetajwa kuwa ni pamoja na kuuzwa kinyemela kwa Mashine ya kulimia (Power tiller ) aina ya Kubota iliyotolewa na Wizara ya Kilimo kwa kijiji cha Mijongweni ambayo inatajwa kuuzwa kwa mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Yusuph Losindilo.


Hivyo makala 16 WANAOTUHUMIWA KUCHOTA FEDHA ZA USHIRIKA WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA

yaani makala yote 16 WANAOTUHUMIWA KUCHOTA FEDHA ZA USHIRIKA WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala 16 WANAOTUHUMIWA KUCHOTA FEDHA ZA USHIRIKA WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/16-wanaotuhumiwa-kuchota-fedha-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "16 WANAOTUHUMIWA KUCHOTA FEDHA ZA USHIRIKA WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA"

Post a Comment