WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA

WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA
kiungo : WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA

soma pia


WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi akizungumza wakati akiwakaribisha ofisini kwake  Viongozi wapya wa Makampuni ya Ulinzi Mkoa wa Arusha waliochaguliwa tarehe 11 Agosti,2018 katika Ukumbi wa Maofisa wa Polisi Arusha.
  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi akiwa katika picha ya pamojamara baada ya kuwakaribisha ofisini kwake  Viongozi wapya wa Makampuni ya Ulinzi Mkoa wa Arusha waliochaguliwa tarehe 11 Agosti,2018.

Na Gasto Kwirini wa Polisi Arusha
JESHI la Polisi Mkoani hapa limeyaonya baadhi ya Makampuni ya Ulinzi kuacha tabia ya kutumia magari yao ya dharura vibaya kinyume na utaratibu pindi wawapo barabarani.

Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi wakati akiwakaribisha ofisini kwake  Viongozi wapya wa Makampuni ya Ulinzi Mkoa wa Arusha waliochaguliwa tarehe 11 Agosti mwaka huu katika Ukumbi wa Maofisa wa Polisi Arusha.

“Kuna baadhi ya Magari ya Makampuni ya Ulinzi yanatumiwa vibaya kwa kigezo cha kuwahi dharura japokuwa wakati mwingine huko waendako hakuna hiyo dharura inayowataka wafanye hivyo. Lakini pia pale kwenye ulazima msitumie magari hayo ya  dharura kwa kubeba vitu haramu  kama vile bhangi”. Alionya kamanda Ng’anzi.


Hivyo makala WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA

yaani makala yote WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/watakiwa-kuacha-kutumia-magari-yao-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA"

Post a Comment