WAZIRI WA NISHATI AAGIZA TANESCO, REA KUANZISHA VITUO VYA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI

WAZIRI WA NISHATI AAGIZA TANESCO, REA KUANZISHA VITUO VYA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA NISHATI AAGIZA TANESCO, REA KUANZISHA VITUO VYA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA NISHATI AAGIZA TANESCO, REA KUANZISHA VITUO VYA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI
kiungo : WAZIRI WA NISHATI AAGIZA TANESCO, REA KUANZISHA VITUO VYA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI

soma pia


WAZIRI WA NISHATI AAGIZA TANESCO, REA KUANZISHA VITUO VYA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI

Na Rhoda Ezekiel Kigoma, 

WAZIRI wa Nishati Medadi Kalemani amewagiza wasimamizi wa mradi wa umeme Vijijini (REA) pamoja na TANESCO kuanzisha madawati ya kutoa huduma na vituo vidogo kwa kila kata nchini kwa lengo l kutatua kero za wananchi na kuhakikisha ifikapo Juni 2021 kila kijiji na kila mwananchi anapata umeme.

Maagizo hayo aliyatoa jana katika Kijiji cha Rusesa wilayani Kasulu mkoani Kigoma, wakati wa uzinduzi wa REA awamu ya tatu katika Vijiji 149 vya Wilaya nne za Mkoa wa Kigoma ambazo zilichelewa kupata mradi huo.

Ambapo aliwataka wasimamizi wa TANESCO na mawakala wa Umeme vijijini REA kumsimamia Mkandarasi aliekabidhiwa mradi huo mchana na usiku kuhakikisha wananchi wanapata umeme kwa wakati.

Amesema TANESCO wanatakiwa kuanzisha ofisi ndogo katika kila kata na dawati la kusikiliza kero za wananchi ,ili kuhakikisha wananchi wanaunganishiwa umeme kwa gharama ya Serikali ya Sh.27,000 bila kuibiwa na wananchi wapate eneo la kupeleka kero zao ilikuepusha kero na kuhakikisha umeme katika kata unawekwa kwenye vijiji vyote na vitongoji vyote vilivyo kusudiwa kama Serikali ya awamu ya tano ilivyo kusudia kwa kila kijiji kupata umeme .

" Fananisheni umeme huu na treni ambayo mmezoea kuipanda na kila mwananchi ataipanda treni hii ya umeme, mmechelewa kuipanda lakini mtakuwa wa kwanza kufika, nimekuja kufanya kazi kumtambhlisha kwenu mkandarasi na kutoa majukumu yake ya kazi.

" Tulikuwa hatujaanza kutekeleza mradi huu tulianza kwa sehemu ndogo katika Wilaya ya Kibondo na Kakonko leo tumekuja kupiga hodi katika Wilaya nne zilizo kuwa zimebaki,"amesema Waziri huyo. 
WAZIRI wa Nishati Medadi Kalemani pichani kati akizindua umeme wa REA awamu ya tatu katika Vijiji 149 vya Wilaya nne za Mkoa wa Kigoma ambazo zilichelewa kupata mradi huo.Katika uzinduzi huo Waziri Kalemani amewagiza wasimamizi wa mradi wa umeme Vijijini (REA) pamoja na TANESCO kuanzisha madawati ya kutoa huduma na vituo vidogo kwa kila kata nchini kwa lengo l kutatua kero za wananchi na kuhakikisha ifikapo Juni 2021 kila kijiji na kila mwananchi anapata umeme.




Hivyo makala WAZIRI WA NISHATI AAGIZA TANESCO, REA KUANZISHA VITUO VYA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI

yaani makala yote WAZIRI WA NISHATI AAGIZA TANESCO, REA KUANZISHA VITUO VYA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA NISHATI AAGIZA TANESCO, REA KUANZISHA VITUO VYA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-wa-nishati-aagiza-tanesco-rea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI WA NISHATI AAGIZA TANESCO, REA KUANZISHA VITUO VYA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI"

Post a Comment