title : WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DK. HAMISI KIGWANGALLA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MASWA
kiungo : WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DK. HAMISI KIGWANGALLA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MASWA
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DK. HAMISI KIGWANGALLA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MASWA
.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiangalia akioneshwa ramani ya Pori la Akiba Maswa na Meneja wa pori hilo, Lusajo Masinde (kushoto kwake) wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu jana.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua moja ya eneo la "camp" ya kitalii katika Pori la Akiba Maswa wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu jana.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, viongozi wa Pori la Akiba Maswa na Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Makao wakiangalia mandhari ya Pori la Akiba Maswa lililopo wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi mkoani humo jana.
Hivyo makala WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DK. HAMISI KIGWANGALLA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MASWA
yaani makala yote WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DK. HAMISI KIGWANGALLA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MASWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DK. HAMISI KIGWANGALLA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MASWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-wa-maliasili-na-utalii-dk-hamisi.html
0 Response to "WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DK. HAMISI KIGWANGALLA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MASWA"
Post a Comment