title : WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA LEE NAK-YON AONDOKA NCHINI BAADA YA ZIARA YA SIKU TATU
kiungo : WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA LEE NAK-YON AONDOKA NCHINI BAADA YA ZIARA YA SIKU TATU
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA LEE NAK-YON AONDOKA NCHINI BAADA YA ZIARA YA SIKU TATU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee Nak - yun wakifurahia burdani ya kikundi cha matarumbeta kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere wakati mgeni huyo alipoondoka nchini Julai 23, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee Nak-yon wakati alipoondoka kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya ziara ya siku tatu nchini
Ndege iliyombeba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee Nak - yun ikiruka kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere baada ya kiongozi huyo kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini Julai 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA LEE NAK-YON AONDOKA NCHINI BAADA YA ZIARA YA SIKU TATU
yaani makala yote WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA LEE NAK-YON AONDOKA NCHINI BAADA YA ZIARA YA SIKU TATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA LEE NAK-YON AONDOKA NCHINI BAADA YA ZIARA YA SIKU TATU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-mkuu-wa-jamhuri-ya-korea-lee-nak_23.html
0 Response to "WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA LEE NAK-YON AONDOKA NCHINI BAADA YA ZIARA YA SIKU TATU"
Post a Comment