title : ARUSHA WAIBUKA VINARA TUZO ZA SAYANSI ZA YST.
kiungo : ARUSHA WAIBUKA VINARA TUZO ZA SAYANSI ZA YST.
ARUSHA WAIBUKA VINARA TUZO ZA SAYANSI ZA YST.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Simon Msanjila akikabidhi zawadi kwa washindi wa jumla wa Shindano la Wanasayansi Chipukizi (YST) lililofanyika jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu , Simon Msanjila akisoma Zawadi ya Washindi shindano la Wanasayansi Chipukizi (YST)lililofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam Kulia ni Mkurugenzi wa Shell Afrika Mashariki na Bg Tanzania Marc Den Hartog akishuhudia.Wanafunzi wakishangilia mara baada ya kupata zawadi zao za ushindi katika shindano la Wanasayansi Chipukizi.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Hivyo makala ARUSHA WAIBUKA VINARA TUZO ZA SAYANSI ZA YST.
yaani makala yote ARUSHA WAIBUKA VINARA TUZO ZA SAYANSI ZA YST. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ARUSHA WAIBUKA VINARA TUZO ZA SAYANSI ZA YST. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/arusha-waibuka-vinara-tuzo-za-sayansi.html
0 Response to "ARUSHA WAIBUKA VINARA TUZO ZA SAYANSI ZA YST."
Post a Comment