WAZIRI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM

WAZIRI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : WAZIRI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


WAZIRI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM


Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala akimkaribisha  Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola aliyefika Idara ya Uhamiaji jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ndani.
 Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiangalia pasipoti ya kielektroniki inayotolewa na Idara ya Uhamiaji, alipotembelea Makao Makuu ya idara hiyo, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Msimamizi wa chumba cha Uchapaji, Mrakibu Msaidizi, Samuel Gambadu.
 Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiongea na wananchi waliofika Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, kupata huduma mbalimbali zinazotolewa na idara hiyo.jijini Dar es Salaam. 
 Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimuuliza swali mwananchi aliyefika Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji kupata huduma.Waziri Lugola yupo katika ziara ya kikazi.
 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala, akizungumza na Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, aliyefika Idara ya Uhamiaji,jijini Dar es Salaam,wakati wa ziara ya kikazi.


Hivyo makala WAZIRI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote WAZIRI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-lugola-atembelea-idara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment