title : COSTECH YASHANGAA KUIONA BARUA WALIYOIANDIKIA TWAWEZA IKIWA MTANDAONI
kiungo : COSTECH YASHANGAA KUIONA BARUA WALIYOIANDIKIA TWAWEZA IKIWA MTANDAONI
COSTECH YASHANGAA KUIONA BARUA WALIYOIANDIKIA TWAWEZA IKIWA MTANDAONI
TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) imesema kuwa barua iliyokuwa katika mitandao ya jamii ni yao isipokuwa wanasikitishwa kuiona katika mitandao hiyo kabla haijajibiwa na wahusika wa barua hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Costech Dk.Amos Nungu amesema lengo la barua hiyo ilitakiwa kujibiwa na sio kusambaa katika mitandao ya jamii.
Amesema kazi ya Tume ni kuishauri Serikali katika masuala yote ya Sayansi na teknolojia na ubunifu na kuandaa vipaumbele vya utafiti pamoja na kupanga mgawanyo wa matumizi ya rasilimali wanazopewa na Serikali.Amesema kazi zingine za tume ni kuratibu kufanya tathimini na ufatiliaji wa tafiti na uendelezaji wa Teknolojia.
Ameongeza tume inayokamati maalumu inayohusika na utoaji wa vibali kwa tafiti mbalimbali zinazoendeshwa hapa nchini.
"Tunasikitika kuona barua tulioitoa kwa TWAWEZA inasambaa mtandaoni wakati hata majibu hajapatikana kwa wahusika,"amesema Dk.Nungu.
Hivyo makala COSTECH YASHANGAA KUIONA BARUA WALIYOIANDIKIA TWAWEZA IKIWA MTANDAONI
yaani makala yote COSTECH YASHANGAA KUIONA BARUA WALIYOIANDIKIA TWAWEZA IKIWA MTANDAONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala COSTECH YASHANGAA KUIONA BARUA WALIYOIANDIKIA TWAWEZA IKIWA MTANDAONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/costech-yashangaa-kuiona-barua.html
0 Response to "COSTECH YASHANGAA KUIONA BARUA WALIYOIANDIKIA TWAWEZA IKIWA MTANDAONI"
Post a Comment