WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM

WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia

WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza wakati wa Kikao na Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Katikati ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye na kushoto ni Kamishna wa Usalama dhidi ya moto, Jesuald Ikonko. Kikao hicho kimefanyika ofisi ndogo ya wizara jijini Dar es Salaam.

Kamishna wa Operesheni Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage, akiwasilisha taarifa ya shughuli za jeshi hilo mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kulia), wakati wa ziara ya waziri alipotembelea makao makuu ya jeshi hilo, jijini Dar es Salaam.
Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (hayupo pichani), wakati wa ziara ya waziri kutembelea jeshi hilo, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Hivyo makala WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-kangi-lugola-afanya-kikao-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment