Watoto saba wafanyiwa upasuaji wa moyo kambi maalum ya matibabu ya siku tano inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

Watoto saba wafanyiwa upasuaji wa moyo kambi maalum ya matibabu ya siku tano inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watoto saba wafanyiwa upasuaji wa moyo kambi maalum ya matibabu ya siku tano inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watoto saba wafanyiwa upasuaji wa moyo kambi maalum ya matibabu ya siku tano inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
kiungo : Watoto saba wafanyiwa upasuaji wa moyo kambi maalum ya matibabu ya siku tano inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

soma pia


Watoto saba wafanyiwa upasuaji wa moyo kambi maalum ya matibabu ya siku tano inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Shirika la Chain of Hope la nchini Uingereza wakimfanyia upasuaji wa kuziba matundu na kurekebisha mishipa ya moyo ambayo imekaa vibaya mtoto mwenye umri wa miezi mitatu katika kambi maalum ya upasuaji ya siku tano inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya watoto saba wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri. 
Kazi ya kumfanyia upasuaji wa kuziba matundu na kurekebisha mishipa ya moyo ambayo imekaa vibaya mtoto mwenye umri wa miezi mitatu ikiendelea.Picha na Brighton James - JKCI


Hivyo makala Watoto saba wafanyiwa upasuaji wa moyo kambi maalum ya matibabu ya siku tano inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

yaani makala yote Watoto saba wafanyiwa upasuaji wa moyo kambi maalum ya matibabu ya siku tano inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watoto saba wafanyiwa upasuaji wa moyo kambi maalum ya matibabu ya siku tano inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/watoto-saba-wafanyiwa-upasuaji-wa-moyo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Watoto saba wafanyiwa upasuaji wa moyo kambi maalum ya matibabu ya siku tano inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)"

Post a Comment