title : SPIKA NDUGAI, WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA VSO LEO BUNGENI JIJINI DODOMA.
kiungo : SPIKA NDUGAI, WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA VSO LEO BUNGENI JIJINI DODOMA.
SPIKA NDUGAI, WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA VSO LEO BUNGENI JIJINI DODOMA.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa tatu kushoto) akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Voluntary Services Overseas (VSO), Dkt. Philip Goodwin (wa tano kulia) pale ugeni kutoka Shirika hilo ulipomtembelea leo tarehe 26 Julai 2018 Ofisini kwake Jijini Dodoma
Spika wa Bunge (katikati) na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakimsikiliza Mkuu wa masuala ya Usimamizi wa tafiti na Tathmini kutoka Shirika la Kimataifa ya Voluntary Services Overseas (VSO), Ndg. Innocent Augustino (kushoto) wakati wa kikao kilichokuwa kinaeleza Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Shirika hilo, tukio lililofanyika leo tarehe 26 Julai 2018 Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge (katikati) na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu kutoka Shirika la Kimataifa la Voluntary Services Overseas (VSO), Dkt. Philip Goodwin (kushoto) wakati wa kikao kilichoelezea Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Shirika hilo, tukio lililofanyika leo tarehe 26 Julai 2018 Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE) .
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Voluntary Services Overseas (VSO), Dkt. Philip Goodwin alipomtembelea leo tarehe 26 Julai 2018 Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Hivyo makala SPIKA NDUGAI, WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA VSO LEO BUNGENI JIJINI DODOMA.
yaani makala yote SPIKA NDUGAI, WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA VSO LEO BUNGENI JIJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI, WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA VSO LEO BUNGENI JIJINI DODOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/spika-ndugai-wajumbe-wa-kamati-ya-bunge.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI, WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA VSO LEO BUNGENI JIJINI DODOMA."
Post a Comment