WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KISUTU WAISHUKURU SERIKALI

WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KISUTU WAISHUKURU SERIKALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KISUTU WAISHUKURU SERIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KISUTU WAISHUKURU SERIKALI
kiungo : WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KISUTU WAISHUKURU SERIKALI

soma pia


WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KISUTU WAISHUKURU SERIKALI

Wafanyabiashara wa soko la Kisutu jijini Dar es salaam wameishukuru Serikali kwa uamuzi wake wa kulijenga upya soko lao ili waweze kufanya biashara zao katika mazingira mazuri.

Shukrani hizo wamezitoa leo katika ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo alipotembelea sokoni hapo kukagua maandalizi ya mradi huo mkubwa wa ujenzi wa soko la Kisutu. 

Wafanyabiashara hao kwasasa wamejengewa soko la muda katika eneo la kituo cha mabasi cha Kisutu ya zamani. Wakizungumza mbele ya Waziri Jafo, Wamesema hatua hiyo ya serikali itawawezesha kufanya biashara zao kwenye mazingira rafiki.

Katika ziara hiyo, Waziri Jafo amewapongeza viongozi wa wilaya ya Ilala kwa maandalizi mazuri ya mradi huo kwa kujenga soko la muda litakalochukua wafanyabiashara hao wakati soko lao likiwa katika ujenzi.Aidha ameagiza uongozi wa wilaya hiyo kuwapa kipaumbele wafanyabiashara waliokuwepo sasa katika soko hilo pindi soko jipya litakapo kamilika.

Ujenzi wa soko jipya utagharimu sh.Bilioni 13 ambazo tayari Manispaa hiyo ya Ilala imeshapokea kupitia Mpango wa serikali wa miradi mkakati.Katika mpango huo, serikali imeshatoa zaidi ya Sh.Bilioni 146 katika Mamlaka mbalimbali za serikali za mitaa hapa nchini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo akiwa na viongozi wa wilaya ya Ilala pamoja na wafanyabiashara wa soko la kisutu.
Wafanyabiashara wa soko la kisutu wakitoa maoni yao wakati wa ujio wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo sokoni hapo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za itaa(TAMISEMI)Selemani Jafo akifanya ukaguzi wa soko la muda lililo andaliwa kwaajili ya wafanya biashara kutoka soko la kisutu.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za itaa(TAMISEMI)Selemani Jafo akitembelea maeneo mbalimbali ya soko la kisutu lililo katika mpango wa kuboreshwa.


Hivyo makala WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KISUTU WAISHUKURU SERIKALI

yaani makala yote WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KISUTU WAISHUKURU SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KISUTU WAISHUKURU SERIKALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/wafanyabiashara-wa-soko-la-kisutu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KISUTU WAISHUKURU SERIKALI"

Post a Comment