Diamond Platinumz: Daylan ni mwanangu halisi 'msiniletee'

Diamond Platinumz: Daylan ni mwanangu halisi 'msiniletee' - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Diamond Platinumz: Daylan ni mwanangu halisi 'msiniletee', tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Diamond Platinumz: Daylan ni mwanangu halisi 'msiniletee'
kiungo : Diamond Platinumz: Daylan ni mwanangu halisi 'msiniletee'

soma pia


Diamond Platinumz: Daylan ni mwanangu halisi 'msiniletee'

Msanii wa Tanzania Diamond Platnumz amewapuuzilia mbali wanaodhania kwamba yeye sio baba wa kweli wa mtoto wake wa kiume wa mwanamitindo Hamisa Mobetto.
Diamond alichapisha ujumbe mkali katika mtandao wake wa Instagram akithibitisha kuwa Daylan ni mwanawe anayempenda sana.
Hatua hiyo inajiri baada mwanamuzilki huyo kuchapisha kanda fupi ya video akivumisha ziara yake ya Marekani.
Kanda hiyo fupi ya video inamuonyesha Diamond akizungumza kuhusu kazi yake na familia.
Anazungumzia vile atakavyokuwa mbali na familia yake kwa takriban mwezi mmoja suala litakalomfanya kutowaona dada zake, mamake na watoto wake.
Kanda hiyo ya video hatahivyo iliwaonyesha wanawe wawili aliyozaa na mfanyibiashara wa Uganda Zari Hassan.
Video hiyo haikumuonyesha mwana wa Hamissa Mobetto, hatua iliowakera mashabiki wake waliotoa hisia tofauti kabla ya Diamond kuchapisha ujumbe huu.
''Huyu ni mwanangu... na ataendelea kuwa mwanangu maisha yangu yote, tena kipenzi changu... .Hakuweza kuwepo kwenye clip iliyopita sababu @lukambaofficial Hakuwa na clip ya mimi na yeye ya Hivi karibuni... na si Vinginevyo... ... .Halaf cha kuongeza, msiniletee Uteam wenu kwa Watoto zangu! Wote ni watoto wangu, Nawapenda na siwezi mtenga wala kumbagua yoyote... ..


Hivyo makala Diamond Platinumz: Daylan ni mwanangu halisi 'msiniletee'

yaani makala yote Diamond Platinumz: Daylan ni mwanangu halisi 'msiniletee' Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Diamond Platinumz: Daylan ni mwanangu halisi 'msiniletee' mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/diamond-platinumz-daylan-ni-mwanangu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Diamond Platinumz: Daylan ni mwanangu halisi 'msiniletee'"

Post a Comment