title : Vodacom Tanzania PLC yaandaa hafla ya 'Bring Your Kid to Work,' Watoto wa wafanyakazi watembelea na kujifunza kuhusu kampuni hiyo
kiungo : Vodacom Tanzania PLC yaandaa hafla ya 'Bring Your Kid to Work,' Watoto wa wafanyakazi watembelea na kujifunza kuhusu kampuni hiyo
Vodacom Tanzania PLC yaandaa hafla ya 'Bring Your Kid to Work,' Watoto wa wafanyakazi watembelea na kujifunza kuhusu kampuni hiyo
Watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakicheza muziki wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc wakishindana kucheza mchezo wa Fusball wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania plc, wakishindana kurusha kamba wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichora picha wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakiangalia sinema iliyoandaliwa kwa ajili yao wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala Vodacom Tanzania PLC yaandaa hafla ya 'Bring Your Kid to Work,' Watoto wa wafanyakazi watembelea na kujifunza kuhusu kampuni hiyo
yaani makala yote Vodacom Tanzania PLC yaandaa hafla ya 'Bring Your Kid to Work,' Watoto wa wafanyakazi watembelea na kujifunza kuhusu kampuni hiyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Vodacom Tanzania PLC yaandaa hafla ya 'Bring Your Kid to Work,' Watoto wa wafanyakazi watembelea na kujifunza kuhusu kampuni hiyo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/vodacom-tanzania-plc-yaandaa-hafla-ya.html
0 Response to "Vodacom Tanzania PLC yaandaa hafla ya 'Bring Your Kid to Work,' Watoto wa wafanyakazi watembelea na kujifunza kuhusu kampuni hiyo"
Post a Comment