Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu

Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu
kiungo : Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu

soma pia


Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu

Na Agness Francis, Blogu ya Jamii.

KIKOSI cha Timu ya Yanga kufanya mabadiliko ya bechi  la ufundi kwa baadhi ya makocha.

Ambapo Kocha msaidizi wa kikosi hicho Shadrack Nsajigwa pamoja na kocha wa makipa  Juma Pondamali ndio watakao ondolewa na kuongezwa wengine.

Huku wakibaki Mwinyi Zahera, Pamoja na Noeli Mwandila katika benchi hilo la ufundi.

Akiongezeka Kocha wa Kagera Sugar  Meck Mexime huku nafasi ya Juma Pondamali ikichukuliwa na Razack Siwa ambaye ni raia wa Nchini Kenya.

Baada ya Kikosi hicho kutokufanya vizuri katika msimu huu uliofikia Tamati jana Mei 28 Ligi kuu Vodacom Tanzania Bara.

Ambapo msimu huu umemlizika vibaya kwa upande wao kwa  kushika nafasi ya 3 wakiwa na alama 52 Azam wakiwatangulia mbele kwa pointi 6 na kushika nafasi ya Pili,Huku Mabingwa wapya wa ligi hiyo Simba Sc wakiwa mbele kwa alama 69.


Hivyo makala Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu

yaani makala yote Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/nsajigwapondamali-kukalia-kuti-kavu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu"

Post a Comment