VODACOM NA KWESE INFILIX KUTOA BURUDANI YA KOMBE LA DUNIA 2018 KIGANJANI

VODACOM NA KWESE INFILIX KUTOA BURUDANI YA KOMBE LA DUNIA 2018 KIGANJANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VODACOM NA KWESE INFILIX KUTOA BURUDANI YA KOMBE LA DUNIA 2018 KIGANJANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VODACOM NA KWESE INFILIX KUTOA BURUDANI YA KOMBE LA DUNIA 2018 KIGANJANI
kiungo : VODACOM NA KWESE INFILIX KUTOA BURUDANI YA KOMBE LA DUNIA 2018 KIGANJANI

soma pia


VODACOM NA KWESE INFILIX KUTOA BURUDANI YA KOMBE LA DUNIA 2018 KIGANJANI

MASHABIKI wa soka wanatarajia kushuhudia michuano ya Kombe la Dunia inayoanza leo nchini Russia kupitia simu zao za mkononi kwa ushirikiano wa kampuni ya Vodacom Tanzania na Inflix.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Nandy Mwiyombella, alisema wateja wa Vodacom wataweza kushuhudia fainali hizo kwa kupakua App ya Kwese Inflix na kununua bando kupitia menu ya *149*01# na kuchagua vifurushi vya siku au wiki.

“Tunazindua kampeni yetu hii ya wateja wa Vodacom kushuhudia Kombe la Dunia tukiwa na Inflix, lengo letu ni kuwapa fursa wateja wetu kufurahia fainali hizi, tumeona tuungane kuwarahisishia wateja wetu kama ilivyo kauli mbiu yetu ya Yajayo yanafurahisha,” alisema.

Alisema kuwa kwa ushirikiano wa Vodacom na Inflix wamejipanga kuwaletea wateja wao kuangalia Kombe la Dunia kupitia Kwese Inflix bando kupitia simu ya kiganjani.

Naye Mkurugenzi wa Inflix, Mgope Kiwanga alisema kuwa wamejipanga kuleta mambo tofauti na sit u Fainali za Kombe la dunia bali kuna burudani za aina mbalimbali.

“Huu ni mwanzo tu wa kuwaletea mashabiki wetu kushuhudia Fainali za Kombe la Dunia, tukiwa na Vodacom, mashabiki watashudia mechi zote katika fainali hizo pamoja na matukio na burudani mbalimbali,” alisema.
 Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Nandy Mwiyombella (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu makubaliano walioingia kati ya Vodacom Tanzania na Kampuni ya Kwese Infix kwa wateja wa Vodacom wataweza kushuhudia fainali hizo kwa kupakua App ya Kwese Inflix na kununua bando kupitia menu ya *149*01# na kuchagua vifurushi vya siku au wiki. Kulia ni Mkurugenzi wa Kwese TV Tanzania, Mgope Kiwanga na kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Digitali Huduma za Ziada wa Vodacom, Paulina Shao.
Mkurugenzi wa Kwese TV Tanzania, Mgope Kiwanga (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Kwese TV walivyijipanga kurusha michuano ya Kombe la Dunia kupitia  App ya Kwese Inflix kwa wateja wa Vodacom Tanzania. Kulia ni  Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Nandy Mwiyombella.


Hivyo makala VODACOM NA KWESE INFILIX KUTOA BURUDANI YA KOMBE LA DUNIA 2018 KIGANJANI

yaani makala yote VODACOM NA KWESE INFILIX KUTOA BURUDANI YA KOMBE LA DUNIA 2018 KIGANJANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM NA KWESE INFILIX KUTOA BURUDANI YA KOMBE LA DUNIA 2018 KIGANJANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/vodacom-na-kwese-infilix-kutoa-burudani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "VODACOM NA KWESE INFILIX KUTOA BURUDANI YA KOMBE LA DUNIA 2018 KIGANJANI"

Post a Comment