title : RAIS WA TBF AKAWABIDHI BENDERA TIMU WAZALENDO YA KIKAPU
kiungo : RAIS WA TBF AKAWABIDHI BENDERA TIMU WAZALENDO YA KIKAPU
RAIS WA TBF AKAWABIDHI BENDERA TIMU WAZALENDO YA KIKAPU
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Timu ya Taifa ya 3x3 ijulikanayo kwa jina Wazalendo inatarajia kuondoka siku ya Ijumaa kuelekea nchini Madagascar kwa ajili ya kushiriki Mashindano ya 3x3 Africa Basketball Qualifiers 2018 ambayo yatashirikisha nchi 16 ikiwemo Tanzania.
Katika mashindano hayo timu nne kati ya hizo zitapata nafasi ya kushiriki Fainali za Africa, Afrobasket 3x3 zitakazofanyika nchini Togo, mwezi October, 2018.
Katika timu ya Tanzania inashirikisha baadhi ya wachezaji ambao walishiriki mashindano ya 3x3 FIBA Zone V U18 ambayo yalifanyika hapa Tanzania na kufanikiwa kuchukua nafasi ya pili na kufanikiwa kuingia mashindano ya Afro basket U18 yatayofanyika nchini Mali, baadae mwaka huu.
Wachezaji watakaowalisha katika michuano hiyo nchini Madagascar ni
1. ABBA PATRICK ROBERT
2. HAJI RASHID MBEGU
3. CHARLES ALBERT MAYOMBO
4. RASHID TARIQ HAROUN MAARIFA
5. JOVIN CHARLES NGOWE
6. MWALIMU HERI KIJOGOO
7. BARAKA NSAJI
8. PHINIAS STEPHEN KASHABI
9. JONAS MUSHI
Viongozi watakaoambatana na timu hiyo ni
1. KARABANI LAWRENCE KARABANI- Meneja wa timu na Mkuu wa Msafara
2. ROBERT MNENDE MANYERERE - Kocha
3. SHABANI MAHOBONYA - Afisa
Magessa ameishukuru Serikali, wazazi, makocha na wadau wa kikapu mbali mbali ikiwemo kampuni ya Factory Media Production ambayo kwa sehemu kubwa imefanikisha safari hii, na wadau wengine ambao wameendelea kushirikiana nasi katika kuiandaa timu hii. Anakaribisha wadau wengine na mashirika mbalimbali kuendelea kushirikiana nasi katika kuendeleza mchezo wa kikapu Tanzania.
Hivyo makala RAIS WA TBF AKAWABIDHI BENDERA TIMU WAZALENDO YA KIKAPU
yaani makala yote RAIS WA TBF AKAWABIDHI BENDERA TIMU WAZALENDO YA KIKAPU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA TBF AKAWABIDHI BENDERA TIMU WAZALENDO YA KIKAPU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/rais-wa-tbf-akawabidhi-bendera-timu.html
0 Response to "RAIS WA TBF AKAWABIDHI BENDERA TIMU WAZALENDO YA KIKAPU"
Post a Comment