title : SPIKA NDUGAI AONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA KOROGWE VIJIJINI MHE. STEPHEN NGONYANI
kiungo : SPIKA NDUGAI AONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA KOROGWE VIJIJINI MHE. STEPHEN NGONYANI
SPIKA NDUGAI AONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA KOROGWE VIJIJINI MHE. STEPHEN NGONYANI
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza wakati wa wa mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini Marehemu Stephen Hillary Ngonyani yaliyofanyika leo nyumbani kwake Korogwe Jijini Tanga. kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama na Kushoto ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi
Mawaziri, Manaibu Waziri, Waheshimiwa Wabunge na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa wakiwa katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini Marehemu Stephen Hillary Ngonyani yaliyofanyika leo kijijini kwake Kwamndolwa Wilayani Korogwe Jijini Tanga.
Wapambe wa Bunge wakibeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini Marehemu Stephen Hillary Ngonyani tayari kwa mazishi yaliyofanyika leo Kijijini kwake Kwamndolwa Wilayani Korogwe Jijini Tanga.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini Marehemu Stephen Hillary Ngonyani katika mazishi yaliyofanyika leo kijijini kwake Kwamndolwa Wilayani Korogwe Jijini Tanga.
PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA KOROGWE VIJIJINI MHE. STEPHEN NGONYANI
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA KOROGWE VIJIJINI MHE. STEPHEN NGONYANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA KOROGWE VIJIJINI MHE. STEPHEN NGONYANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/spika-ndugai-aongoza-waheshimiwa.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA KOROGWE VIJIJINI MHE. STEPHEN NGONYANI"
Post a Comment