SIMBA YAMPATA KOCHA MPYA WA VIUNGO KUTOKA TUNISIA.

SIMBA YAMPATA KOCHA MPYA WA VIUNGO KUTOKA TUNISIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA YAMPATA KOCHA MPYA WA VIUNGO KUTOKA TUNISIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA YAMPATA KOCHA MPYA WA VIUNGO KUTOKA TUNISIA.
kiungo : SIMBA YAMPATA KOCHA MPYA WA VIUNGO KUTOKA TUNISIA.

soma pia


SIMBA YAMPATA KOCHA MPYA WA VIUNGO KUTOKA TUNISIA.


MWAMBA WA HABARI.
Klabu ya Simba imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Kocha mpya wa viungo, Mtunisia, Adel Zrane.

Simba wamefikia makubaliano na Zrane kwa kandarasi hiyo akiwa ni pendekezo la Kocha Mkuu wa klabu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems.

Zrane amechukua rasmi nafasi ya aliyekuwa kocha wa viungo, Aymen Hbib ambaye alikuwa pamoja na Mfaransa, Pierre Lechantre, aliyeondoka baada ya mkataba wake na Simba kumalizika.

Kocha huyo ameungana moja kwa moja na kikosi cha Simba kilichopo nchini Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya tamasha la Simba Day na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

Simba wameendelea kujifua katika jiji la Instabul nchini humo kikiwa na wachezaji wengi wapya ili kupata utulivu wa mazoezi kabla ya kurejea Dar es Salaam.


Hivyo makala SIMBA YAMPATA KOCHA MPYA WA VIUNGO KUTOKA TUNISIA.

yaani makala yote SIMBA YAMPATA KOCHA MPYA WA VIUNGO KUTOKA TUNISIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YAMPATA KOCHA MPYA WA VIUNGO KUTOKA TUNISIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/simba-yampata-kocha-mpya-wa-viungo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMBA YAMPATA KOCHA MPYA WA VIUNGO KUTOKA TUNISIA."

Post a Comment