JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR KUJADILI FURSA ZA AJIRA SEKTA YA KILIMO.

JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR KUJADILI FURSA ZA AJIRA SEKTA YA KILIMO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR KUJADILI FURSA ZA AJIRA SEKTA YA KILIMO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR KUJADILI FURSA ZA AJIRA SEKTA YA KILIMO.
kiungo : JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR KUJADILI FURSA ZA AJIRA SEKTA YA KILIMO.

soma pia


JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR KUJADILI FURSA ZA AJIRA SEKTA YA KILIMO.


Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Jumuia ya Afrika Mashariki wamekutana nchini Tanzania kwa ajili ya kupitia na kujadili miradi katika sekta ya kilimo jambo ambalo litasiadia kuangalia namna ya kuwashirikisha vijana katika kushiriki shughuli za Kilimo kikamilifu.


Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam katika Mkutano uliandaliwa na  Jumuia ya Afrika Mashariki, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Waziri Mkuu Kitengo za Ukuzaji wa Ajira Joseph Nganga, amesema kuwa nchi mbalimbali wamekutana ili kuangalia namna ya kutengeneza mazingira rafiki kwa vijana katika sekta ya Kilimo.



Nganga amesema kuwa kumekuwa na  mradi wa majaribio kwa ajili ya kuwatambua vijana ambao wemejiajiri katika sekta ya Kilimo.



Amesema kuwa kupitia miradi ya majaribio vijana kutoka jumuia ya afrika mashariki walipata fursa ya kushiriki jambao ambalo lilisaidia kupata vikundi vya vijana ambao wanafanya vizuri zaidi katika kilimo.



"Baada ya kupatikana vijana waliofanya vizuri katika sekta ya kilimo walipata zawadi huku wengine walipata fursa ya kwenda benn ili kuongeza uwelewa zaidi katika Kilimo" amesema Nganga.



Amesema vikundi mbalimbali vya vijana vilitambuliwa ambavyo vinafanya shughuli za uzalishaji katika kilimo ili kufungua milango ya ajira.



"Leo tumekutana ili kuangalia namna gani tunaweza kuwashiriki vijana ili waweze kushiriki  kikamilifu katika sekta ya kilimo" amesema Nganga.



Amefafanua kuwa  kuna fursa nyingi za vijana katika kujiajiri kupitia kilimo pamoja  kupata elimu rafiki ambayo itamwezesha kufanya kazi katika mazingira rafiki.



Miongoni mwa fursa hizi ni pamoja na masoko pamoja na kupata elimu kupitia  program maalumu ya kuwajengea vijana ili waweze kujiajiri katika kilimo cha biashara.





Hivyo makala JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR KUJADILI FURSA ZA AJIRA SEKTA YA KILIMO.

yaani makala yote JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR KUJADILI FURSA ZA AJIRA SEKTA YA KILIMO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR KUJADILI FURSA ZA AJIRA SEKTA YA KILIMO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/jumuia-ya-afrika-mashariki-wakutana-dar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR KUJADILI FURSA ZA AJIRA SEKTA YA KILIMO."

Post a Comment