SHILOLE AAMUA KUSOMA KIINGEREZA KWA WATAALAMU WA LUGHA DUNIANI

SHILOLE AAMUA KUSOMA KIINGEREZA KWA WATAALAMU WA LUGHA DUNIANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHILOLE AAMUA KUSOMA KIINGEREZA KWA WATAALAMU WA LUGHA DUNIANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHILOLE AAMUA KUSOMA KIINGEREZA KWA WATAALAMU WA LUGHA DUNIANI
kiungo : SHILOLE AAMUA KUSOMA KIINGEREZA KWA WATAALAMU WA LUGHA DUNIANI

soma pia


SHILOLE AAMUA KUSOMA KIINGEREZA KWA WATAALAMU WA LUGHA DUNIANI

Baada ya kuchekwa sana kwa kutojua kiingereza, msanii wa bongo flava Shilole ameingia mkataba na shirika la Uingereza British Council Tanzania ili kujifunza lugha hiyo. 

Mbali ya muziki, msanii huyo anajulikana sana kwa kuwa na hamasa ya kuongea kiingereza bila kujali makosa ambayo anayafanya. Wiki iliyopita tuliona video ikitrend ya mwanadada huyo akijaribu kusema “Subscribe” alivyokua anaongelea kuhusu wimbo wake mpya.

Shirika la Uingereza British Council Tanzania, limefurahi Shilole ameamua kutaka kujiendeleza katika lugha ya kiingereza ambayo itamsaidia katika kazi yake kama msanii. 

Hususani kumpa fursa za kimataifa zaidi. Angela Hennelly, Country Director, amesema kuwa ni fursa nzuri kwa Shilole kujua lugha ya Kiingereza na amempongeza kwa hatua hiyo aliyoichukua. Ameendelea kusema kuwa hii itamfungulia milango mingi ya fursa kulingana na jinsi uchumi wa dunia unavyokua na changamoto wanazozipata haswa wasanii.

Angela ameendelea kusema kuwa anategemea hii fursa itawapa moyo vijana kufikiria pia kujiendeleza katika lugha ili waweze kufanya mawasiliano kwa urahisi katika shughuli zao za kila siku haswa kwa upande wa ajira.

“SHILOLE DECIDES TO LEARN ENGLISH WITH THE WORLD’S LEADING EXPERTS?

Tanzanian “Bongo Flava” artist Shilole has signed a contract with the British Council Tanzania to learn English. This comes after videos trending showing the star keen to speak English but experiencing some challenges. This has led to many people following her and being eager to hear her speak.
The British Council is the United Kingdom’s international organisation for cultural relations and educational opportunities. Angela Hennelly the Country Director, applauded Shilole for her determination in wanting to know the language, as it will open many doors and opportunities in this fast-paced global economy, especially as an artist. She hopes that this will be an encouragement especially to young people to try to improve their communication skills so as to be able to tap into employment and other opportunities.


Hivyo makala SHILOLE AAMUA KUSOMA KIINGEREZA KWA WATAALAMU WA LUGHA DUNIANI

yaani makala yote SHILOLE AAMUA KUSOMA KIINGEREZA KWA WATAALAMU WA LUGHA DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHILOLE AAMUA KUSOMA KIINGEREZA KWA WATAALAMU WA LUGHA DUNIANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/shilole-aamua-kusoma-kiingereza-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHILOLE AAMUA KUSOMA KIINGEREZA KWA WATAALAMU WA LUGHA DUNIANI"

Post a Comment