SERIKALI KUTAIFISHA MALI ZA KAMPUNI YA TANZAM 2000 ZILIZOPO NDANI YA PORI LA AKIBA MOYOWOSI/KIGOSI BAADA YA ILANI YA SIKU 7 - DK. KIGWANGALLA

SERIKALI KUTAIFISHA MALI ZA KAMPUNI YA TANZAM 2000 ZILIZOPO NDANI YA PORI LA AKIBA MOYOWOSI/KIGOSI BAADA YA ILANI YA SIKU 7 - DK. KIGWANGALLA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI KUTAIFISHA MALI ZA KAMPUNI YA TANZAM 2000 ZILIZOPO NDANI YA PORI LA AKIBA MOYOWOSI/KIGOSI BAADA YA ILANI YA SIKU 7 - DK. KIGWANGALLA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI KUTAIFISHA MALI ZA KAMPUNI YA TANZAM 2000 ZILIZOPO NDANI YA PORI LA AKIBA MOYOWOSI/KIGOSI BAADA YA ILANI YA SIKU 7 - DK. KIGWANGALLA
kiungo : SERIKALI KUTAIFISHA MALI ZA KAMPUNI YA TANZAM 2000 ZILIZOPO NDANI YA PORI LA AKIBA MOYOWOSI/KIGOSI BAADA YA ILANI YA SIKU 7 - DK. KIGWANGALLA

soma pia


SERIKALI KUTAIFISHA MALI ZA KAMPUNI YA TANZAM 2000 ZILIZOPO NDANI YA PORI LA AKIBA MOYOWOSI/KIGOSI BAADA YA ILANI YA SIKU 7 - DK. KIGWANGALLA

Na Hamza Temba-Geita

Kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzam 2000 iliyokuwa ikifanya utafiti wa madini ya dhahabu katika eneo la Luahika ndani ya Pori la Akiba Moyowosi/Kigosi imetakiwa kuondoa vifaa na mitambo yake katika eneo la hilo ndani ya siku saba kwa amri ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla.

Dk. Kigwangalla ameiagiza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania TAWA kutoa ilani ya siku saba kwa kampuni hiyo iondoe vifaa na mitambo yake katika eneo hilo na endapo muda huo utapita bila kufanya hivyo mali hizo zitataifishwa na kuwa mali ya Serikali kwa kuwa wao ni wavamizi kwa mujibu wa sheria.

Waziri Kigwangalla ametoa agizo hilo juzi alipotembelea pori hilo katika wilaya ya Bukombe mkoani Geita ambapo alihitimisha ziara yake ya siku 25 aliyoipa jina la Pori Kwa Pori kwa ajili ya kukagua shughuli za uhifadhi nchini na kutatua changomoto zake.

Alisema uwepo wa vifaa na mitambo ya muwekezaji huyo ndani ya hifadhi hiyo imekuwa kishawishi kikubwa kwa wachimbaji wadogo wa madini kuvamia maeneo hayo wakiamini kuwa eneo hilo lina dhahabu na kwamba bado linaruhusiwa kwa shughuli za uchimbaji.

Awali Meneja wa Pori hilo, Benjamin Kijika alisema kampuni hiyo ilipewa kibali na Wizara ya Malisili na Utalii kwa ajili ya kufanya utafiti wa madini ya dhahabu katika eneo hilo kwa mwaka 2005 hadi 2010 na kuongezewa muda hadi 2012.Alisema wakati kibali hicho kinatolewa Sheria ya Uhifadhi wa Wanyamapori namba 5 ya mwaka 2009 ambayo inazuia tafiti kama hizo na shughuli nyingine za kibinaadamu kwenye maeneo ya hifadhi ilikua bado haijatoka.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla akimuagiza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania TAWA, Mabula Misungwi (Kulia) kutoa ilani ya siku 7 kwa kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzam 2000 ili itoe mali zake zote katika eneo la Pori la Akiba Moyowosi/Kigosi alipotembelea pori hilo juzi katika wilaya ya Bukombe mkoani Geita na endapo muda huo utapita zitaifishwe kuwa mali na Serikali.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla akikagua vifaa na mitambo ya kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzam 2000 katika eneo la Luahika ndani ya Pori la Akiba Moyowosi/Kigosi alipotembelea pori hilo juzi katika wilaya ya Bukombe mkoani Geita ambapo amegiza itolewe ilani ya siku 7 kwa kampuni hiyo iondoe mali zake zote na endapo itakaidi zitaifishwe kuwa mali ya Serikali, Nyuma yake ni Meneja wa Pori hilo, Benjamin Kijika.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla akioneshwa vielelezo (mchanga wa madini ya dhahabu na baiskeli) walivyokamatwa navyo wachimbaji wadogo wa madini katika eneo Pori la Akiba Moyowosi/Kigosi na Meneja wa Sekta ya Kigosi Kaskazini, Salum Kulunge alipotembelea pori hilo juzi katika wilaya ya Bukombe mkoani Geita ambapo amegiza itolewe ilani ya siku 7 kwa kampuni ya Tanzam 2000 iliyokuwa ikifanya utafiti wa madini ya dhahabu ndani ya pori hilo iondoe mali zake zote na endapo itakaidi zitaifishwe kuwa mali ya Serikali.



Hivyo makala SERIKALI KUTAIFISHA MALI ZA KAMPUNI YA TANZAM 2000 ZILIZOPO NDANI YA PORI LA AKIBA MOYOWOSI/KIGOSI BAADA YA ILANI YA SIKU 7 - DK. KIGWANGALLA

yaani makala yote SERIKALI KUTAIFISHA MALI ZA KAMPUNI YA TANZAM 2000 ZILIZOPO NDANI YA PORI LA AKIBA MOYOWOSI/KIGOSI BAADA YA ILANI YA SIKU 7 - DK. KIGWANGALLA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI KUTAIFISHA MALI ZA KAMPUNI YA TANZAM 2000 ZILIZOPO NDANI YA PORI LA AKIBA MOYOWOSI/KIGOSI BAADA YA ILANI YA SIKU 7 - DK. KIGWANGALLA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/serikali-kutaifisha-mali-za-kampuni-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI KUTAIFISHA MALI ZA KAMPUNI YA TANZAM 2000 ZILIZOPO NDANI YA PORI LA AKIBA MOYOWOSI/KIGOSI BAADA YA ILANI YA SIKU 7 - DK. KIGWANGALLA"

Post a Comment