title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika utekelezaji mpango kazi wa mwaka 2017/2018 kwa taasisi zilizo chini ya Wizra hiyo,katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika utekelezaji mpango kazi wa mwaka 2017/2018 kwa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Khalid Salım Mohamed (katikati) alipokuwa akiwasilisha Taarifa ya utekelezaji mpango kazi wa mwaka 2017/2018 kwa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo katika mkutano wa Uongozi uliofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mee na Kamishana wa ZRB Ndg.Joseph Abdalla Meza.
[Picha na Ikulu.] 30/06/2018.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar."
Post a Comment