PROFESA KAMUZORA AWAASA WATUMISHI WA IDARA YA MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI KUZINGATIA UBORA NA UFANISI KATIKA UTENDAJI

PROFESA KAMUZORA AWAASA WATUMISHI WA IDARA YA MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI KUZINGATIA UBORA NA UFANISI KATIKA UTENDAJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PROFESA KAMUZORA AWAASA WATUMISHI WA IDARA YA MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI KUZINGATIA UBORA NA UFANISI KATIKA UTENDAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PROFESA KAMUZORA AWAASA WATUMISHI WA IDARA YA MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI KUZINGATIA UBORA NA UFANISI KATIKA UTENDAJI
kiungo : PROFESA KAMUZORA AWAASA WATUMISHI WA IDARA YA MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI KUZINGATIA UBORA NA UFANISI KATIKA UTENDAJI

soma pia


PROFESA KAMUZORA AWAASA WATUMISHI WA IDARA YA MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI KUZINGATIA UBORA NA UFANISI KATIKA UTENDAJI

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora amewataka watumishi wa Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali kuzingatia ubora na ufanisi katika uchapaji wa nyaraka za Serikali.

Wito huo ameutoa hii leo Julai 4, 2018 alipotembelea katika Idara hiyo ili kuangalia namna wanavyoendesha shughuli zao za kila siku.

Prof.Kamuzora alieleza umuhimu wa kuendelea kuwa na ubunifu katika utendaji kwa kuzingatia unyeti wa nyaraka za Serikali wanazochapisha na kuongeza wigo wa uzalishaji kwa kuwa na machapisho yenye ubora na viwango vya kuendana na soko ili kuongeza mapato ya nchi.

“Niwaombe watumishi wote mzingatie uzalishaji wenye tija kwa kuchapisha nyaraka zenye ubora na ufanisi utakao saidia kuongeza mapato ya nchi hivyo ni vyema kuwa na ubunifu wa hali ya juu,”alisema Prof.Kamuzora

Pamoja na maagizo hayo aliwasisitiza kuzingatia uzalendo wa nchi yao kwa kuwa waadilifu katika kuitumikia kwa uaminifu bila kutoa siri za Serikali.

 Kaimu Mpigachapa Mkuu wa Serikali Bw.John Kaswalala akimuonesha Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora moja ya mtambo unaotumika kuchapisha nyaraka za Serikali unaoitwa Original Heidelberg alipotembelea katika Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali Julai4, 2018 Jijini Dodoma.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora akipata ufafanuzi kutoka kwa Kaimu Mpigachapa Mkuu wa Serikali Bw.John Kaswalala juu ya moja ya kitabu kilichochapishwa na Idara hiyo, alipotembelea Kuona namna idara inavyotekeleza majukumu yake.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora akiuliza jambo kwa Kaimu Mpigachapa Mkuu wa Serikali Bw.John Kaswalala kuhusu mitambo ya Kidijitali inayotumika kuchapa nyaraka za Serikali, wa kwanza kushoto ni Mpigachapa Msaidizi Bw.Cornel Chikokoto.
 Kaimu Mpigachapa Mkuu wa Serikali Bw.John Kaswalala akikabidhi vitabu vya maandiko yanayoeleza juu ya Idara hiyo kuwa Wakala kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora alipotembelea Idara ya Mpigachapa tarehe 4 Julai, 2018 Jijini Dodoma.
 Mhudumu Mkuu wa Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw Jackson Ainea akieleza jambo kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora (hayupo pichani) wakati alipotembelea katika Ofisi hizo Jijini Dodoam Julai 4, 2018.
 Afisa Tawala Mwandamizi wa Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Severin Kapinga akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora (hayupo Pichani) wakati wa kikao chake na Watumishi wa Idara hiyo alipowatembelea Julai 4, 2018.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora akizungumza jambo na Watumishi wa Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali (hawapo pichani) alipofanya ziara ofisini hapo kuona namna wanavyotekeleza majukumu yao.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali alipowatembelea Julai4, 2018.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala PROFESA KAMUZORA AWAASA WATUMISHI WA IDARA YA MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI KUZINGATIA UBORA NA UFANISI KATIKA UTENDAJI

yaani makala yote PROFESA KAMUZORA AWAASA WATUMISHI WA IDARA YA MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI KUZINGATIA UBORA NA UFANISI KATIKA UTENDAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PROFESA KAMUZORA AWAASA WATUMISHI WA IDARA YA MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI KUZINGATIA UBORA NA UFANISI KATIKA UTENDAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/profesa-kamuzora-awaasa-watumishi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PROFESA KAMUZORA AWAASA WATUMISHI WA IDARA YA MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI KUZINGATIA UBORA NA UFANISI KATIKA UTENDAJI"

Post a Comment