title : DC. MJEMA AITAKA JAMII KUWA KUMBUKA WATOTO YATIMA.
kiungo : DC. MJEMA AITAKA JAMII KUWA KUMBUKA WATOTO YATIMA.
DC. MJEMA AITAKA JAMII KUWA KUMBUKA WATOTO YATIMA.
Mwambawahabari
Na. John Luhende
Wazazi na walezi wameaswa kuwa linda na kuwa funzo tabia njema na maadili ya kitanzania ili kujenga Taifa imara.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala mhe. Sophia Mjema alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuchangia watoto yatima iliyo andaliwa na Umoja wa Wanawake wa Afrika Mashariki (VID)Volunteers In Development, na kutoa wito kwa watu wenye uwezo kuwaalika watoto yatima pamoja na kuwapa vitu mbali na kuwa tembelea mara kwa mara.
"Watoto hawa wanahitaji kupendwa wamekuwa mpenzi kutoka kwa wazazi tukiwatembelea tukisalimiananao na kuwa kumbatitia wanajihisi nao Wana wazazi na wanapendwa" alisema
Amesema watoto yatima hawapaswi kuachwa tu jamii inatakiwa kuwapa malezi bora kwa kufanya hivyo tuta okoa kizazi kijacho, huku akionya watu wanaposafiri maadili ya kitanzania kwa kutumia mitandao ya kijamii.
Pamoja na Hayo Mjema, ametoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima, ikiwemo Maji ya kunywa, Biscuits, Juice, na Mikate."Nimekuja na hi vichache lakini Nita endelea kutoa Zaidi mKisha anza kivizungukia vituo vya watoto yatima mje tena niwapatia vitu vingine ili muwapatie hao watoto." alisema Mjema.
Kwa upande wao umoja wa wanawake hao, wame eleza lengo la umoja wao kuwa ni kutoa misaada kwa yatima na wasiojiweza kwa kuwapatia mahitaji mbalimbali wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na sikukuu ya Idd, ambapo katika mnada walioufanya wamechangisha zaidi ya shilingi milioni tisa.
Hivyo makala DC. MJEMA AITAKA JAMII KUWA KUMBUKA WATOTO YATIMA.
yaani makala yote DC. MJEMA AITAKA JAMII KUWA KUMBUKA WATOTO YATIMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC. MJEMA AITAKA JAMII KUWA KUMBUKA WATOTO YATIMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/dc-mjema-aitaka-jamii-kuwa-kumbuka.html
0 Response to "DC. MJEMA AITAKA JAMII KUWA KUMBUKA WATOTO YATIMA."
Post a Comment