title : PADRI AUGUSTINO RAMADHAN AONGOZA IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MKE WA PROFESA SHABA
kiungo : PADRI AUGUSTINO RAMADHAN AONGOZA IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MKE WA PROFESA SHABA
PADRI AUGUSTINO RAMADHAN AONGOZA IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MKE WA PROFESA SHABA
Padri wa Kanisa la Anglikana, Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhan akiongoza ibada ya kumbukumbu ya marehemu Elizabeth Shaba mke wa Profesa James Shaba aliye patwa na mauti Julai Mosi mwaka huu na kuzikwa Julai 7, Chicago, Marekani. Ibada hiyo imefanyika leo kwenye Kanisa la St Albano Angilkana, jijini Dar es Salaam.
Marehemu ambaye alikuwa anaishi na mumewe nchini Marekani mpaka anakutwa na mauti alikuwa Muuguzi Mshauri wa Ubalozi wa Kanada. Alioana na Profesa Shaba mwaka 1963. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakishiriki kwenye Ibada hiyo
Anna Nyerere ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere, akishiriki katika Ibada hiyo
Hivyo makala PADRI AUGUSTINO RAMADHAN AONGOZA IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MKE WA PROFESA SHABA
yaani makala yote PADRI AUGUSTINO RAMADHAN AONGOZA IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MKE WA PROFESA SHABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PADRI AUGUSTINO RAMADHAN AONGOZA IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MKE WA PROFESA SHABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/padri-augustino-ramadhan-aongoza-ibada.html
0 Response to "PADRI AUGUSTINO RAMADHAN AONGOZA IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MKE WA PROFESA SHABA"
Post a Comment