WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA ILALA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI

WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA ILALA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA ILALA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA ILALA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI
kiungo : WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA ILALA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI

soma pia


WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA ILALA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI

Mgeni Rasmi, Waziri wa Madini Angellah Kairuki akizungumza na wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga na waendesha Bodaboda  waliokusanyika katika viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.
Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
  Mbunge wa Ilala Mhe. Mussa Azan akizungumza na wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo na waendesha pikipiki waliokusanyika katika viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo na waendesha pikipiki waliokusanyika katika viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.
 Mwakilishi wa wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga Bw.Namoto Yusuf Namoto akisoma risala ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.
 Mwakilishi wa waendesha Bodaboda Wilaya ya Ilala Bw. Athanas Kitime akitoa salamu zao kwa Mgeni Rasmi, Waziri wa Madini Angellah Kairuki (hayupo pichani) wakati wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga na waendesha pikipiki wakimpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.
 Mwenyekiti wa wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga Bw. Steven Lusinde (kulia) na Mwakilishi wa waendesha pikipiki maarufu kama waendesha bodaboda Bw. Athanas Kitime wakimkabidhi risala Mgeni Rasmi, Waziri wa Madini Angellah Kairuki wakati wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo na waendesha pikipiki wakimpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.
 Baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga na waendesha pikipiki maarufu kama waendesha bodaboda waliokusanyika katika viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.
 Msanii Sholo Mwamba akitoa burudani kwa  wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga na waendesha pikipiki waliokusanyika katika viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.


Hivyo makala WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA ILALA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI

yaani makala yote WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA ILALA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA ILALA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/wamachinga-na-waendesha-bodaboda-wilaya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA ILALA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI"

Post a Comment