title : NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAONYESHO SABASABA
kiungo : NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAONYESHO SABASABA
NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAONYESHO SABASABA
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimsikiliza Askari wa Usalama Barabarani Faustina Ndunguru akitoa maelezo juu ya usalama barabarani na matumizi ya alama za barabarani.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimuuliza swali kwa kutumia mfano wa picha za magari Askari wa Usalama Barabarani Faustina Ndunguru kuhusu makosa ya kuvunja sheria barabarani.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimsikiliza Sajent Miriam kuhusu jinsi Polisi Jamii wanavyofanya kazi kuhudumia wananchi. Naibu Waziri huyo alitembelea banda la polisi katika viwanja vya sabasaba yanakofanyika Monyesho ya Kitaifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimsikiliza Konstebo wa Polisi, Jovin John kuhusu mbwa wa polisi wanavyoweza kusaidia katika kukamata wahalifu nchini. Naibu Waziri huyo alitembelea banda la polisi katika viwanja vya sabasaba kunakofanyika Monyesho ya Kitaifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimsikiliza Inspecta wa Polisi Alex Chandi aliyekuwa akitoa maelezo kuhusu namna gani Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) hufanya kazi kukabili wanaoleta ghasia. Wa kwanza kulia ni Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi Barbas Mwakalukwa. Naibu Waziri huyo alitembelea banda la polisi katika viwanja vya sabasaba kunakofanyika Monyesho ya Kitaifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wananchi, alipotembelea Banda la Idara ya Uhamiaji katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimsikiliza Inspekta Polisi John Mabonda wa Polisi kitengo cha malalamiko jinsi wanavyohudumia wananchi wenye uhitaji wa huduma yao. Naibu Waziri huyo alitembelea banda la polisi katika viwanja vya sabasaba kunakofanyika Monyesho ya Kitaifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAONYESHO SABASABA
yaani makala yote NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAONYESHO SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAONYESHO SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/naibu-waziri-mambo-ya-ndani-ya-nchi.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAONYESHO SABASABA"
Post a Comment