Maeneo 17 Dar Kufungwa CCTV Kamera

Maeneo 17 Dar Kufungwa CCTV Kamera - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maeneo 17 Dar Kufungwa CCTV Kamera, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maeneo 17 Dar Kufungwa CCTV Kamera
kiungo : Maeneo 17 Dar Kufungwa CCTV Kamera

soma pia


Maeneo 17 Dar Kufungwa CCTV Kamera

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, akiongoza Kikao cha wadau kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali, kujadili Mradi wa kuweka Kamera za Kudhibiti Uhalifu(CCTV Kamera) katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma. 
 Washiriki wa Kikao cha Wadau wa kujadili Mradi wa Kuweka Kamera za Kudhibiti Uhalifu(CCTV Kamera) katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam,Faraji Ntembo na Faizer Mbange(kushoto), wakipitia moja ya nyaraka inayohusu mradi huo wakati wa kikao hicho kilichoongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma. 
Mshiriki wa Kikao cha Wadau wa kujadili Mradi wa Kuweka Kamera za Kudhibiti Uhalifu (CCTV Kamera) katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam,Wankyo Nashon akichangia hoja, kushoto  ni mshiriki  Lina Rujweka. Kikao hicho kimefanyika  leo  jijini  Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Hivyo makala Maeneo 17 Dar Kufungwa CCTV Kamera

yaani makala yote Maeneo 17 Dar Kufungwa CCTV Kamera Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maeneo 17 Dar Kufungwa CCTV Kamera mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/maeneo-17-dar-kufungwa-cctv-kamera.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maeneo 17 Dar Kufungwa CCTV Kamera"

Post a Comment