MWANAFUNZI KUFAMYIWA USAJILI PAPO HAPO BANDA LA TAASISI YA USTAWI WA JAMII KATIKA MAONESHO YA 13 YA VYUO VIKUU MNAZI MMOJA

MWANAFUNZI KUFAMYIWA USAJILI PAPO HAPO BANDA LA TAASISI YA USTAWI WA JAMII KATIKA MAONESHO YA 13 YA VYUO VIKUU MNAZI MMOJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANAFUNZI KUFAMYIWA USAJILI PAPO HAPO BANDA LA TAASISI YA USTAWI WA JAMII KATIKA MAONESHO YA 13 YA VYUO VIKUU MNAZI MMOJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANAFUNZI KUFAMYIWA USAJILI PAPO HAPO BANDA LA TAASISI YA USTAWI WA JAMII KATIKA MAONESHO YA 13 YA VYUO VIKUU MNAZI MMOJA
kiungo : MWANAFUNZI KUFAMYIWA USAJILI PAPO HAPO BANDA LA TAASISI YA USTAWI WA JAMII KATIKA MAONESHO YA 13 YA VYUO VIKUU MNAZI MMOJA

soma pia


MWANAFUNZI KUFAMYIWA USAJILI PAPO HAPO BANDA LA TAASISI YA USTAWI WA JAMII KATIKA MAONESHO YA 13 YA VYUO VIKUU MNAZI MMOJA

Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii anawakaribisha wahitimu wote wa kidato cha sita na kidato cha Nne pamoja na wazazi wa wahitimu kwenye banda la Taasisi hiyo katika maonyesho ya 13 ya vyuo vikuu kwenye viwanja vya Mnazi mmoja, kukutana na wahadhiri  wa taasisi na kupata maelezo ya kina kuhusu programu za masomo zitolewazo na Taasisi hiyo pia kupata maelezo ya jinsi ya kujiunga na Taasisi kwa mwaka huu wa maosmo 2018/2019 ambapo mwanafunzi atafanyiwa usajili papo hapo katika banda la Taasisi ya Ustawi wa jamii.

Ili kusajiliwa mwanafunzi afike na Vivuli vya vyeti vya kitaaluma na cheti cha kuzaliwa pamoja na ada a Usajili ambayo ni Tsh. elfu 10,000/ tu. 
Mhadhiri msaidizi wa idara ya Rasilimali watu Bi. Christina fille akitoa maelezo na kujibu maswali kwa wanafunzi mbali mbali waliofika kwenye Banda la Taasisi ya Ustawi wa Jamii. 
Wanafunzi na Wananchi mbali mbali wakipata maelezo kutoka kwa watumishi wa Taasisi ya Ustawi wa jamii kwenye maonyesho ya 13 ya Vyuo vikuu katika viwanja vya Mnazi mmoja  Dar es salaam.



Hivyo makala MWANAFUNZI KUFAMYIWA USAJILI PAPO HAPO BANDA LA TAASISI YA USTAWI WA JAMII KATIKA MAONESHO YA 13 YA VYUO VIKUU MNAZI MMOJA

yaani makala yote MWANAFUNZI KUFAMYIWA USAJILI PAPO HAPO BANDA LA TAASISI YA USTAWI WA JAMII KATIKA MAONESHO YA 13 YA VYUO VIKUU MNAZI MMOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANAFUNZI KUFAMYIWA USAJILI PAPO HAPO BANDA LA TAASISI YA USTAWI WA JAMII KATIKA MAONESHO YA 13 YA VYUO VIKUU MNAZI MMOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mwanafunzi-kufamyiwa-usajili-papo-hapo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWANAFUNZI KUFAMYIWA USAJILI PAPO HAPO BANDA LA TAASISI YA USTAWI WA JAMII KATIKA MAONESHO YA 13 YA VYUO VIKUU MNAZI MMOJA"

Post a Comment