MSHINDI MBIO ZA BAISKELI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA HUYU HAPA

MSHINDI MBIO ZA BAISKELI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA HUYU HAPA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSHINDI MBIO ZA BAISKELI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA HUYU HAPA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSHINDI MBIO ZA BAISKELI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA HUYU HAPA
kiungo : MSHINDI MBIO ZA BAISKELI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA HUYU HAPA

soma pia


MSHINDI MBIO ZA BAISKELI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA HUYU HAPA


 Mbunge wa Songea Mjini, Dk. Damas Ndumbaro akimkabidhi zawadi ya nishani ya baiskeli mshindi wa kwanza katika mbio za baiskeli 100KM za Tamasha la Majimaji Selebuka, Masunda Duba wa Simiyu. Pia alitwaa zawadi ikiwamo ya washindi watatu wa kwanza kupata fursa ya kutafutiwa mashindano nje ya nchi na kugharimiwa kila kitu na Taasisi ya SOMI. 
 Bingwa wa mbio za baiskeli 100KM za tamasha la kila mwaka la Majimaji Selebuka, Masunda Duba akishangalia baada ya kuhitimisha mbio hizo ambazo zilikuwa ni kutoka Wilaya ya Mbinga hadi Manispaa ya Songea.
 . Bingwa wa mbio za baiskeli 100KM, Masunda Duba, akichuana vikali na Boniphace Masuda aliyeshika nafasi ya pili katika shindano lililoratibiwa na Taasisi ya SOMI kupitia Tamasha la Majimaji Selebuka.


Hivyo makala MSHINDI MBIO ZA BAISKELI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA HUYU HAPA

yaani makala yote MSHINDI MBIO ZA BAISKELI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA HUYU HAPA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSHINDI MBIO ZA BAISKELI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA HUYU HAPA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mshindi-mbio-za-baiskeli-tamasha-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MSHINDI MBIO ZA BAISKELI TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA HUYU HAPA"

Post a Comment