Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang Akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Biashara ya 15 ya Kimataifa Nchini China.

Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang Akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Biashara ya 15 ya Kimataifa Nchini China. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang Akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Biashara ya 15 ya Kimataifa Nchini China., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang Akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Biashara ya 15 ya Kimataifa Nchini China.
kiungo : Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang Akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Biashara ya 15 ya Kimataifa Nchini China.

soma pia


Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang Akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Biashara ya 15 ya Kimataifa Nchini China.

Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang la Nchini China, Chen Wu (katikati) akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Dk. Khalid Salum Mohammed wakati gavana huyo alipotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning Jimbo la Guangxi Nchini China. Kulia Waziri wa Biashara na Viwanda, Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali

Gavana  wa Jimbo la Guangxi Zhuang la Nchini China, Chen Wu akiangalia bidhaa za viungo zinazozalishwa na Zanzibar Organic Producers wakati alipotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning Jimbo la Guangxi Zhuang Nchini China.
(Picha na Haroub Hussein)


Hivyo makala Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang Akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Biashara ya 15 ya Kimataifa Nchini China.

yaani makala yote Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang Akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Biashara ya 15 ya Kimataifa Nchini China. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang Akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Biashara ya 15 ya Kimataifa Nchini China. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/gavana-wa-jimbo-la-guangxi-zhuang.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang Akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Biashara ya 15 ya Kimataifa Nchini China."

Post a Comment