NAIBU WAZIRI AWESO AAGIZA ALIYEKUWA MHANDISI MAJI LUSHOTO APEKEKE MIKATABA YA MRADI MAJI SHUME WIZARANI NDANI YA WIKI MOJA

NAIBU WAZIRI AWESO AAGIZA ALIYEKUWA MHANDISI MAJI LUSHOTO APEKEKE MIKATABA YA MRADI MAJI SHUME WIZARANI NDANI YA WIKI MOJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI AWESO AAGIZA ALIYEKUWA MHANDISI MAJI LUSHOTO APEKEKE MIKATABA YA MRADI MAJI SHUME WIZARANI NDANI YA WIKI MOJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI AWESO AAGIZA ALIYEKUWA MHANDISI MAJI LUSHOTO APEKEKE MIKATABA YA MRADI MAJI SHUME WIZARANI NDANI YA WIKI MOJA
kiungo : NAIBU WAZIRI AWESO AAGIZA ALIYEKUWA MHANDISI MAJI LUSHOTO APEKEKE MIKATABA YA MRADI MAJI SHUME WIZARANI NDANI YA WIKI MOJA

soma pia


NAIBU WAZIRI AWESO AAGIZA ALIYEKUWA MHANDISI MAJI LUSHOTO APEKEKE MIKATABA YA MRADI MAJI SHUME WIZARANI NDANI YA WIKI MOJA

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ameagiza aliyekuwa Mhandisi wa Maji wilaya ya Lushoto ambaye amehamishiwa Maswa mkoani Shinyanga afike wilayani humo kuchukua mikataba ya mradi wa maji Shume ndani ya wiki moja aupeleke wizarani.

Mradi huo wa ujenzi wa miundombinu ya maji Shume Manola hadi Madala unatakelezwa na mkandarasi MS Organes Contractors Co.Limited wa wilayani Lushoto ambapo unagharimu kiasi cha Bilioni 2,493,272,852.

Aweso alitoa agizo hilo jana wakati akihitimisha ziara yake wilayani Lushoto ambapo aligundua kuwepo kwa mkanganyika kwa ulipwaji wa fedha za mradi wa Maji shume ambazo zimepelekwa na serikali kwa kulipwa mkandarasi kwa kiwango tofauti kwenye mkataba mmoja.

Fedha ambazo alibaini kulipwa mkandarasi huyo kwa certificate ya kwanza mkandarasi alipaswa kulipwa kiasi cha bilioni 2.4,ya pili mkatandas alilipwa bilioni 2.4 na tatu inaonyesha alilipwa kiasi cha bilioni 2.9 jambo ambalo liliibua sintofahamu wakati wa kikao hicho baada ya kushindwa kupata maelezo halisi.

“Ndugu zangu haiwezekani mradi mmoja unakua gharama tatu tofauti ambazo zina tofautiana na ndio sababu nimelazimika kuagiza mikataba yote irudi wizara kwenda kuhakikiwa kwa lengo la kuweza kubaini gharama halisi ya mradi “Alisema.Naibu Waziri huyo alisema kutokana na kuwepo kwa dalili za ubadhirifu ndani ya mradi huo wizara haitaweza kutoa fedha katika mradi huo hadi pale wataalamu kutoka wizarani kuufanyia uchunguzi mradi huo .
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso kulia akifuatilia kwa umakini mkataba wa Maji wa Shume kuangalia mapungufu yaliyopo jana kabla ya kupelekwa Wizarani katikati ni Katibu wa Naibu Waziri huyo Karim Lichela kushoto ni Mhandisi wa Mipango na Ujenzi wa Tang Uwasa Rashidi Selemani wa mwisho kushoto ni Mhandisi wa Maji Mkoa wa Tanga Ladislaus Modestus 
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso wa tatu kutoka kushoto akimsikiliza Katibu Tawala wa wilaya ya Lushoto wakati alipotembelea chanzo cha maji cha Ngulu kata ya Magamba wilayanu lushoto wakati wa ziara yake 
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akikagua tenki la Maji la Kata ya Kwamashai wilayani Lushoto wakati wa ziara yake.




Hivyo makala NAIBU WAZIRI AWESO AAGIZA ALIYEKUWA MHANDISI MAJI LUSHOTO APEKEKE MIKATABA YA MRADI MAJI SHUME WIZARANI NDANI YA WIKI MOJA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI AWESO AAGIZA ALIYEKUWA MHANDISI MAJI LUSHOTO APEKEKE MIKATABA YA MRADI MAJI SHUME WIZARANI NDANI YA WIKI MOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI AWESO AAGIZA ALIYEKUWA MHANDISI MAJI LUSHOTO APEKEKE MIKATABA YA MRADI MAJI SHUME WIZARANI NDANI YA WIKI MOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/naibu-waziri-aweso-aagiza-aliyekuwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU WAZIRI AWESO AAGIZA ALIYEKUWA MHANDISI MAJI LUSHOTO APEKEKE MIKATABA YA MRADI MAJI SHUME WIZARANI NDANI YA WIKI MOJA"

Post a Comment